Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
- Thread starter
- #41
Unaelewa maana ya shilingi kuimarika zaidi ya nyingine yaan inapunguza gape la thamani.Chanzo chako cha taarifa ni kipi? Umeandika upotoshaji mtupu. Tangu lini shilingi ya Uganda ni bora kuliko ya Tanzania? Halafu naona kuna nyumbu zinakupa sapoti.
Jitambue kilaza wewe!