instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Tuendelee kuchati ili stress zipungue vp mkeo Bado anaku-cheat?Njoo kipenzi changu ,💞 Mimi ni rastafarian mwenye huruma sana,hata nyama silagi
Njoo inbox na picha Yako, ntakupa utulivu mkubwa wa akiliTuendelee kuchati ili stress zipungue vp mkeo Bado anaku-cheat?
Kunywa maji mengi bwana kweka mdogoNjoo inbox na picha Yako, ntakupa utulivu mkubwa wa akili
umeliona shirika langu?Njoo inbox na picha Yako, ntakupa utulivu mkubwa wa akili
umeliona shirika langu?
Linaitwaje?
Habari ndugu mteja,Fanyeni maboresho
Tuache kujaza token kwenye kile ki mita badala yake mtu akinunua umeme, mfumo ufanye update ya kupokea malipo automatically. Kama vile tunavyofanya malipo mengine ya serikali kupitia control number.
Habari ndugu mteja,At least TANESCO, MAKAMPUNI YA SIMU Kidogoooo. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni wanajitahidi sana mapungufu ni ya kawaida. Kwa upande wangu NIDA, RITA wanajisikia sana wanaona ni kana kwamba washamaliza kila kitu hapa Duniani Customer care yao ni mbovu sana.
Habari ndugu mteja,Mi naona Tanesco wako vizuri sana...
Habari Boutafrica, asante kwa pongezi, Tunaenda hatua zaidi katika kukupatia huduma bora.^FLTANESCO YA SASA WANAJITAHIDI SANA AISEE,TUNASUBIRI WENGINE WAIGE,TANESCO ya sasa inatoa huduma kama upo ulaya hivi.
HESLB Dar Es Salaam, huduma yao ni nzuri sana. Wanahudumia haraka sana tena kwa ukarimu.Wiki ya Huduma kwa wateja huadhimishwa Duniani kila mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Oktoba kwa taasisi za serikali na kampuni binafsi kusherehekea, kutathmini na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na wateja.
Ikiwa ni ukingoni mwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, ni taasisi gani inaongoza kuwa na Huduma nzuri kwa Wateja mpaka unatamani nyingine zijifunze kutoka kwao?
wapigie midnightNipo kinyume na mada
NMB na NHIF Nina mwezi sasa kila nikipiga huduma kwa wateja wananambia mhudumu anaongea na mtu mwingine