Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Mleta huu uzi. Inaitwa Wilaya ya Rungwe na sio Wilaya ya Tukuyu.Tukuyu ni makao makuu ya Wilaya ya Rungwe.
 
We mleta Uzi kasome Uzi wa Masai dada uone mapungufu yenu
 
Unafanya Research nini mkuu..... Au unatafuta one 9t stand kukwepana na baridi la maeneo.... Mikoa inayoongoza kwa UKimwi ni IRINGA, MBEYA....na upi tena vile

Njombe, Dar es Salaam, Ruvuma, Shinyanga, Rukwa, Katavi kwenye top ten!
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.

Kwahiyo tukusaidiaje?!
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.

Huko hakuna Warembo we fanya kazi uondoke
 
Wapo . sema tu una papara.
inawezekana wapo ila mpaka umulike kwa tochi,sie tushazoea ukitoka kibarazani vitu vizuri vimejipanga hapo vinasubiri sasa mambo ya kusaka utadhani unasaka dhahabu nani anataka
 
Back
Top Bottom