Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Inawezekana wewe mwenyewe mbovu tu ndo maana huoni hao warembo!by the way huko tukuyu hakuna type yako tu sio kwamba sio warembo!!(Dharau izo)
We nawe huna point. Hivi ushawah fika tukuyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana wewe mwenyewe mbovu tu ndo maana huoni hao warembo!by the way huko tukuyu hakuna type yako tu sio kwamba sio warembo!!(Dharau izo)
vibaya hivyo jamani unanikana hadharani
Kwa wachezaji ni ngumu kutembea na MPIRA na MAGOLI, kiurahisi ni kubeba tu MPIRA, popote unapokutana na MAGOLI, na yakakuvutia unaanzisha game!
akienda straight to the point usimpige kibuti straight
Unafanya Research nini mkuu..... Au unatafuta one 9t stand kukwepana na baridi la maeneo.... Mikoa inayoongoza kwa UKimwi ni IRINGA, MBEYA....na upi tena vile
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.