James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kumbe mnaruhusiwa kutumia jina Yesu ktk maombi. Basi ilikuwa ni hilo tuMkatoliki lazima aamini Katika Mapokeo, Asipoamini hivyo bas kuna walakini katika ukatoliki wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnaruhusiwa kutumia jina Yesu ktk maombi. Basi ilikuwa ni hilo tuMkatoliki lazima aamini Katika Mapokeo, Asipoamini hivyo bas kuna walakini katika ukatoliki wake!
Mkuu Yesu ndiye Mkombozi wetu, Kanisa katoliki limejengwa Katika yeye, Ndio maana Kila tuombapo Kwa Mungu Tunasema, Tunaomba hayo kupitia Bwana wetu yesu Kristu Mwanawe, anayeishi na Kutawala nawe Katika Umoja wa Roho Mtakatifu, Mungu Daima na Milele!Kumbe mnaruhusiwa kutumia jina Yesu ktk maombi. Basi ilikuwa ni hilo tu
AminaMkuu Yesu ndiye Mkombozi wetu, Kanisa katoliki limejengwa Katika yeye, Ndio maana Kila tuombapo Kwa Mungu Tunasema, Tunaomba hayo kupitia Bwana wetu yesu Kristu Mwanawe, anayeishi na Kutawala nawe Katika Umoja wa Roho Mtakatifu, Mungu Daima na Milele!
😂😂😂😂😂
Oouh, linakuja mzee.Kokote Mkuu Daby, kuwa huru
Akubariki Pia na wewe, Nafurahi na Nafarijika sana kwa Maoni yako Haya ya Kipekee..Tazama jinsi ukuu was Mungu ulivyo!!
Kwa andiko lako nilitegemea utaambulia maswali yenye kukarahisha,mzaha na mengi yasiyofaa kama ulivyo kawaida kwa post kama hizi.
Hadi kudikia post ya 22 bado busara na HEKIMA YA MUNGU vimetawala mjadala.
MUNGU akubariki.
Mkuu Lucky star, Amri ya Kwanza ya Kanisa inasema Hudhuria Dominika Zote na Sikukuu zilizoamriwa, Katika Misa za Dominika Kuna Ekaristi, usipohudhuria lazima utaikosa hii Neema ambayo ndio uponyaji wa Roho zetu, Pili kama mtu huyo atakuwa anasali kwingine inakuwa ni ngumu kwake kuhudhuria jumuiya ndogondogo za kikatoliki kitu kitakachosababisha ashindwe kutambulika kama Mkatoliki kamili, kwa kitendo hichi inakuwa ni vigumu kwake kupata huduma za kikanisa kwa urahisi!Swali. Ni neema gani anazikosa mkristo Mkatoliki ambaye ama kwa makusudi au kutojua anaamua kutofika kanisani kwake na badala yake kuamua kwenda kusali katika dhehebu jingine siku za ibada/misa huku akiendelea kujiita Mkatoliki?
Barikiwa sana kwa jibu zuri lenye rejea haiMkuu Lucky star, Amri ya Kwanza ya Kanisa inasema Hudhuria Dominika Zote na Sikukuu zilizoamriwa, Katika Misa za Dominika Kuna Ekaristi, usipohudhuria lazima utaikosa hii Neema ambayo ndio uponyaji wa Roho zetu, Pili kama mtu huyo atakuwa anasali kwingine inakuwa ni ngumu kwake kuhudhuria jumuiya ndogondogo za kikatoliki kitu kitakachosababisha ashindwe kutambulika kama Mkatoliki kamili, kwa kitendo hichi inakuwa ni vigumu kwake kupata huduma za kikanisa kwa urahisi!
Mkuu fafanua kidogoBinafsi kwanza, naomba kukufahamu wewe ni mtu bwa aina gani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app