Wilaya ya Hai kijiji cha Tindigani ndicho chote kapewa Mjomba wa Omani? Hii sio sawa

Hivi wale jamaa wenye Nyota na mikasi mabegani pale ngome wanaelewa maana ya kuwa walinzi wa katiba!!
 
Hebu tulia weka habari kamili. Weka nyaraka zinazoonyesha jina la huyo mjomba wa Oman. Weka title deeds, Weka hata picha kama unazo. Kuandika hivyo bila uthibitisho ni kupoteza muda wa wasomaji
wamepewa wajomba mnataka ushahidi gani nakati sign ya waziri wa tms mchengrwa inaonekana
 
Kama wao wanavifuta Vijiji vyetu kwanini na sisi Watanzania tusiwafute CCM ili wabaki kwenye Vitabu vya Historia?!
 
nasubiri miaka ijayo mbeleni atakuja rais(ambae kwa sasa yuko kwenye baraza la mawaziri) kutoka kwenye chama hiko hiko alafu atalalamika kwanini serikali iliingia mkataba mbovu kama huu!
then atavunja mkataba.

Halafu tutalipa fidia ya mabillion. Then life goes on. Hii nchi tumelaaniwa.
 
KWa hio ulivyo mjinga kufuta vijiji ni sawa na hata kufuta Nchi siku moja itakuwa sawa? wewe ni wale mmekuja Duniani kumaliza hewa ya Oxygen tu huna maana
"Kumaliza hewa tu".....kuna watu wamekuja kumaliza hewa tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bado nauliza Kwa wajuvi wa mambo, Je Tanganganyika iliyoungana na Zanzibar, mipaka yake hasa ni Ipi? Maana Ziwa Nyasa mpaka wake Ni utata, upande wa Mashariki mwa Tanganyika mipaka yake bado ni Utata.
-ramani/mchoro kwenye kujibu ingependeza wengi
 

View: https://twitter.com/KoroshoMedia/status/1826688000216236189?t=_tbUkzP7X_EJExVVWAJkqQ&s=19
 
Napendekeza majina ya Vijiji yasifutwe kwakuwa hii ndio asili yake.
Kama kupewa muwekezaji sahihi basi na apewe tu. Na sio kubadili majina ya Vijiji.
Halafu tusiongee kwa KASHFA hii sio sahihi kabisa.
Awe Mu Omani au Muingereza kinacho takiwa ni awe muwekezaji sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…