Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamepewa wajomba mnataka ushahidi gani nakati sign ya waziri wa tms mchengrwa inaonekanaHebu tulia weka habari kamili. Weka nyaraka zinazoonyesha jina la huyo mjomba wa Oman. Weka title deeds, Weka hata picha kama unazo. Kuandika hivyo bila uthibitisho ni kupoteza muda wa wasomaji
Uhaini huo.Hivi wale jamaa wenye Nyota na mikasi mabegani pale ngome wanaelewa maana ya kuwa walinzi wa katiba!!
nasubiri miaka ijayo mbeleni atakuja rais(ambae kwa sasa yuko kwenye baraza la mawaziri) kutoka kwenye chama hiko hiko alafu atalalamika kwanini serikali iliingia mkataba mbovu kama huu!
then atavunja mkataba.
Hisia koko.Nadhani anauvunja muungano Kwa style Ile ya jumbe!!
🥰🥰🥰Hivi wale jamaa wenye Nyota na mikasi mabegani pale ngome wanaelewa maana ya kuwa walinzi wa katiba!!
Provoking style !sio kwa bahati mbaya!
Wazees waoga nani anaweza?Hivi hii Nchi kama Katiba inafeli ina maana HAKUNA hata Wazee wenye busara na hekima kukemea huu ujinga?
Ni Aibu kwa Taifa kukosa Wazee wenye maonoWazees waoga nani anaweza?
Mkuu wazee they have nothingto lose, Vijana ndio wanapasea kupigania nchi na sio WazeeeNi Aibu kwa Taifa kukosa Wazee wenye maono
Sawa kabisaMkuu wazee they have nothingto lose, Vijana ndio wanapasea kupigania nchi na sio Wazeee
"Kumaliza hewa tu".....kuna watu wamekuja kumaliza hewa tu😀😀😀KWa hio ulivyo mjinga kufuta vijiji ni sawa na hata kufuta Nchi siku moja itakuwa sawa? wewe ni wale mmekuja Duniani kumaliza hewa ya Oxygen tu huna maana
Kibaya zaidi zinatumika pesa za serikali kufidia wale wanao ondoka kwa hiari.Yes kuna eneo pale kakabidbiwa mjomba wa Oman awekeze, wanakijiji wamefurushwa na wako uhamishoni pia
Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
View attachment 3074593
Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na hii kasi ni kubw awamu ya huyu Mama ambaye yeye haoni shismda kabisa kuuza maeneo kwa Wawekezaji hasa wa kutoka Ujombani kule.
Target ya Mama hadi anatoka Madarakani ni kuuza angalau mkoa mmoja mzima kabisa na raia wake wanauzwa.