Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningejua code za kujifanya mganga,ningefanya😀Nyakati za uchaguzi huko si inakuwa hakuna kwa kukanyaga?..
Njoo nikupeNingejua code za kujifanya mganga,ningefanya
Wanasiasa ninge deal nao sana
Ova
Kweli,unajua mm sitaniiiagiNjoo nikupe
Unaenda Songea au Mbeya 🙂🙂Mbeya Makanisa.. Songea Gesti.
Halafu unapewa sharti hakuna kunywa gambe!Kweli,unajua mm sitaniiiagi
Kuna hela sana huko ujue wanasiasa,wafanyabiashara ndy walengwa wangu
Ova
Acha utani mkuu tanga wilaya zenye shida ya maji Ni handeni ,kilindi na mkinga kidogo .Huu mkoa miyeyusho sana wanadai mapenzi ndiyo yalipozaliwa ila maji yanatoka kwa wiki mara moja sasa najiuliza hawa watu wakishamaliza hayo mapenzi hua wanaoga kweli?
Huko ni waja Leo kuondoka majaliwauko ndio nyumba mganga nyumba sho/ga sio
Hakuna mkoa ambao hauna umeme wa rea inatofautiana kiwango cha usambaaji tuUmeme wa REA umefika huko?
Kisosora chumviniAcha utani mkuu tanga wilaya zenye shida ya maji Ni handeni ,kilindi na mkinga kidogo .
Kwengine kote maji yako bwerere .
Tanga mjini ndio mahali kwenye Safi na salama Tanzania. Nzima unaweza hata kunywa bila kuyachemsha usidhurike.
Kuna mahali lushoto mfano bumbuli nasikia hawalipi kabisa bili za maji na maji yanatoka kwenye mabomba .
Pangani maji yamejaa bwerere vile vile korogwe .
Case ya handeni na kilindi hizo wilaya zina uharibifu wa vyanzo vya maji ,ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa inapekea ukame ukame kutawala.
Unataka mapenzi njoo msambweni ,magomeni,donge,Hadi mwakidila Kisha kisosora ,chumbageni,kwamichi Hadi kange utapewa mapenzi shata shata ,Mambo ya maji iliki ,kisosa acha bwana .
Tanga raha
Wewe ni una masikhara.Acha utani mkuu tanga wilaya zenye shida ya maji Ni handeni ,kilindi na mkinga kidogo .
Kwengine kote maji yako bwerere .
Tanga mjini ndio mahali kwenye Safi na salama Tanzania. Nzima unaweza hata kunywa bila kuyachemsha usidhurike.
Kuna mahali lushoto mfano bumbuli nasikia hawalipi kabisa bili za maji na maji yanatoka kwenye mabomba .
Pangani maji yamejaa bwerere vile vile korogwe .
Case ya handeni na kilindi hizo wilaya zina uharibifu wa vyanzo vya maji ,ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa inapekea ukame ukame kutawala.
Unataka mapenzi njoo msambweni ,magomeni,donge,Hadi mwakidila Kisha kisosora ,chumbageni,kwamichi Hadi kange utapewa mapenzi shata shata ,Mambo ya maji iliki ,kisosa acha bwana .
Tanga raha
Hakuna mkoa ambao hauna umeme wa rea inatofautiana kiwango cha usambaaji tu
Korogwe kunakuaje na shida ya maji wakat wana mto ruvu umepita katikati ya mji???Wewe ni una masikhara.
Mimi nipo Korogwe na Mheza na hapo umezisema hazina shida ya maji, aisee bro umewahi ogelea kwenye bwawa unaambiwa humu kunakuaga na mamba?
Usinikumbushe nikaanza kulia.