Wilaya ya Handeni ina waganga wa jadi 6600, Kwamsisi inasifika zaidi

Wilaya ya Handeni ina waganga wa jadi 6600, Kwamsisi inasifika zaidi

ndio tanga maji hayakati, yakikatika ujue ni tatizo kubwa na mnatangaziwa. na ni maji safi kama nilivyokuambia juu, unakunywa from bombani.
Unaishi Tanga kwa sasa? Wilaya ipi?

Frequently nakua Korogwe au Mheza na kote nimeona hili swala la maji. Hale sijawahi kukaa ila naambiwa pako vizuri katika swala la maji.

Mgila, Bwiko, Mkumbara maji ishu pia.
 
Mto pangani hauhudumii Korogwe, maji yanatoka milimani, haswa mlima fundi.

Ikitokea Kuna shida ya maji ndio watu huchota ruvu (Mto pangani)
Pale ndio nashangaa mto una maji mengi unapita katikati ya mji Ila eti hawatumi hayo maji [emoji1]

Kuna baadhi ya maeneo wanatumia maji ya kisima wakati mto una maji meengi
 
Unaishi Tanga kwa sasa? Wilaya ipi?

Frequently nakua Korogwe au Mheza na kote nimeona hili swala la maji. Hale sijawahi kukaa ila naambiwa pako vizuri katika swala la maji.

Mgila, Bwiko, Mkumbara maji ishu pia.
Muheza huko nako hakueleweki

Chanzo Cha maji ya tanga mjini Kiko muheza amani

Ila muheza Kuna shida ya maji halafu chanzo Chao kinawahudumia tanga jiji[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni una masikhara.

Mimi nipo Korogwe na Mheza na hapo umezisema hazina shida ya maji, aisee bro umewahi ogelea kwenye bwawa unaambiwa humu kunakuaga na mamba?

Usinikumbushe nikaanza kulia.
Huyu haijui Muheza na shida ya maji. Nimeishi Muheza na maji yalikuwa kama dhahabi
 
Wilaya ya Handeni imejipanga kuhamasisha jamii kuondokana na imani za kishirikina, badala yake ijikite kwenye shughuli za maendeleo kwenye ngazi za kaya na vijiji.

Wakati yakielezwa hayo wilaya hiyo inatajwa kuwa na jumla ya waganga wa jadi 6,600.

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Toba Nguvila alibainisha hayo baada ya kushtushwa na idadi hiyo na baadhi ya vijiji vyake, kikiwamo cha Kwamsisi kuwa na sifa iliyoenea ndani na nje ya nchi kwa kubobea kwa uchawi. Nguvila kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba.

“Mahala popote nchini, mtu akitishia kwamba nitaenda Kwamsisi basi ataogopwa. Hatupaswi kuiendekeza sifa hii kwa sababu uchawi hauleti maendeleo,” alisema Nguvila na kuwataka kuondokana na sifa hiyo na wawe na sifa ya maendeleo.

Nguvila alitoa kauli hiyo alipozungumza na wakazi wa Kata ya Kwamsisi, baada ya kupokea mradi wa maji wa Kijiji cha Mkaramo uliojengwa kwa Sh143.3 milioni na Shirika la World Vision, akitaka waondokane na sifa ya waganga wengi na wachawi.

Nguvila alisema Wilaya ya Handeni ina fursa nyingi katika sekta ya Kilimo, mazingira, mifugo na madini ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wageni na kuwaacha wenyeji katika lindi la umaskini, akisema hali hiyo lazima ibadilike.

Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kwamsisi waliozungumza na Mwananchi walisema imani ya kishirikina imetawala eneo lao na husababisha baadhi yao kushindwa kujenga nyumba za kisasa kwa kuhofia kulogwa na wanaojihusisha na uchawi.
[emoji23][emoji1787]waganga ni wengi kuliko wakazi wa handeni,wazigua ni konyo kwa ulonzi
 
Huyu haijui Muheza na shida ya maji. Nimeishi Muheza na maji yalikuwa kama dhahabi
Muheza mjini kuna shida kubwa sana ya maji.

Maji ya bomba kwa baadhi ya maeneo ni siku moja kwa wiki.
 
Hii orodha iliyopatikana kwenye Daftari la Usajili waganga wa jadi inaweza kutumika vizuri:
1.Tukaweka madaraja ya waganga(Wanaotoa tiba kwa kutumia miti shamba na wapiga ramli)
2.Tunaweza kuwatumia kutengeneza mtaala,kwa ajili ya kuwa na utaalamu endelevu.
3.Tunaweza kuwaunganisha wakatengeneza umoja wao(mfano kuungana na waganga wa Sumbawanga,Kigoma na sehemu zingine),wakiungana wanaweza endeleza ile sayansi ya "kusafiri na ungo",(na kupunguza gharama za usafiri) tutajikuta tunakuwa na usafiri ambao hakuna haja ya kuwa na ",passport" kwenda ulaya na nchi zingine Duniani.
waganga wenyewe wanapanda mabasi sasa sijui kwanini hawatumii ungo na nasikia ukiwa mganga lazima uwe mchawi
 
Muheza mjini kuna shida kubwa sana ya maji.

Maji ya bomba kwa baadhi ya maeneo ni siku moja kwa wiki.
alafu muheza mbona pako kalibu na hale pale kuna mto yani wanashindwa kujichanga watandaze mabomba
 
Acha utani mkuu tanga wilaya zenye shida ya maji Ni handeni ,kilindi na mkinga kidogo .

Kwengine kote maji yako bwerere .

Tanga mjini ndio mahali kwenye Safi na salama Tanzania. Nzima unaweza hata kunywa bila kuyachemsha usidhurike.

Kuna mahali lushoto mfano bumbuli nasikia hawalipi kabisa bili za maji na maji yanatoka kwenye mabomba .

Pangani maji yamejaa bwerere vile vile korogwe .

Case ya handeni na kilindi hizo wilaya zina uharibifu wa vyanzo vya maji ,ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa inapekea ukame ukame kutawala.

Unataka mapenzi njoo msambweni ,magomeni,donge,Hadi mwakidila Kisha kisosora ,chumbageni,kwamichi Hadi kange utapewa mapenzi shata shata ,Mambo ya maji iliki ,kisosa acha bwana .

Tanga raha
mkuu unaposema Tanzania nzimaunamaana hani umefika moshi wewe.
 
Halafu unapewa sharti hakuna kunywa gambe!
Maeneo mengi hapo karibu na kwa msisi nlizunguka kwa sunga, ndumbwa,masimba, mkaramo,pozo ila maeneo kama hayo ukifata mambo yako na hufikiri mambo yao utaishi na kufanya kazi yako vizuri tu

Ova
 
Back
Top Bottom