Wilaya ya Handeni ina waganga wa jadi 6600, Kwamsisi inasifika zaidi

ndio tanga maji hayakati, yakikatika ujue ni tatizo kubwa na mnatangaziwa. na ni maji safi kama nilivyokuambia juu, unakunywa from bombani.
Unaishi Tanga kwa sasa? Wilaya ipi?

Frequently nakua Korogwe au Mheza na kote nimeona hili swala la maji. Hale sijawahi kukaa ila naambiwa pako vizuri katika swala la maji.

Mgila, Bwiko, Mkumbara maji ishu pia.
 
Mto pangani hauhudumii Korogwe, maji yanatoka milimani, haswa mlima fundi.

Ikitokea Kuna shida ya maji ndio watu huchota ruvu (Mto pangani)
Pale ndio nashangaa mto una maji mengi unapita katikati ya mji Ila eti hawatumi hayo maji [emoji1]

Kuna baadhi ya maeneo wanatumia maji ya kisima wakati mto una maji meengi
 
Unaishi Tanga kwa sasa? Wilaya ipi?

Frequently nakua Korogwe au Mheza na kote nimeona hili swala la maji. Hale sijawahi kukaa ila naambiwa pako vizuri katika swala la maji.

Mgila, Bwiko, Mkumbara maji ishu pia.
Muheza huko nako hakueleweki

Chanzo Cha maji ya tanga mjini Kiko muheza amani

Ila muheza Kuna shida ya maji halafu chanzo Chao kinawahudumia tanga jiji[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni una masikhara.

Mimi nipo Korogwe na Mheza na hapo umezisema hazina shida ya maji, aisee bro umewahi ogelea kwenye bwawa unaambiwa humu kunakuaga na mamba?

Usinikumbushe nikaanza kulia.
Huyu haijui Muheza na shida ya maji. Nimeishi Muheza na maji yalikuwa kama dhahabi
 
[emoji23][emoji1787]waganga ni wengi kuliko wakazi wa handeni,wazigua ni konyo kwa ulonzi
 
Huyu haijui Muheza na shida ya maji. Nimeishi Muheza na maji yalikuwa kama dhahabi
Muheza mjini kuna shida kubwa sana ya maji.

Maji ya bomba kwa baadhi ya maeneo ni siku moja kwa wiki.
 
waganga wenyewe wanapanda mabasi sasa sijui kwanini hawatumii ungo na nasikia ukiwa mganga lazima uwe mchawi
 
Muheza mjini kuna shida kubwa sana ya maji.

Maji ya bomba kwa baadhi ya maeneo ni siku moja kwa wiki.
alafu muheza mbona pako kalibu na hale pale kuna mto yani wanashindwa kujichanga watandaze mabomba
 
mkuu unaposema Tanzania nzimaunamaana hani umefika moshi wewe.
 
Halafu unapewa sharti hakuna kunywa gambe!
Maeneo mengi hapo karibu na kwa msisi nlizunguka kwa sunga, ndumbwa,masimba, mkaramo,pozo ila maeneo kama hayo ukifata mambo yako na hufikiri mambo yao utaishi na kufanya kazi yako vizuri tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…