Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Dah Inahitaji roho ngumu sana kumsubject binadamu mwenzako kwenye hukumu kama hiyo huku ukijua kabisa ni uongo.
. Binadamu hizo roho wanazo Sana, anakubambikia kesi ili ukafie jera 😕

. Mafia kaa mbali kabisa na mwanafunzi, maana ukionekana tu hata siku akija kupata mimba anapangwa kuwa mtaje fulani wa kipindi kile 😁😁
 
Umeona kwa sababu kuna 98% ni waislam ndio umeleta uongo huu. Kuna baadhi ya wafanyakazi wa serekali wanatumia madaraka na fedha zao kuwarubuni Akina dada wa mafia waingie kwenye ukiristo. Utamkuta mtu Mkurugenzi wa Taasisi ya Umma huku pia mkuu wa kanisa. Hii ni moja ya changamoto kubwa huko.
 
. 😅 😅 😅. Kwani wewe ni mzawa wa MAFIA,

. Hizo safari za ndege na meli zote nimepita kijana, mafia nimeitembelea vizuri..

. Serikali haijaitupa mafia, sema serikali inajua kuwa nyinyi ni watu wa mafia ni kamati ya Roho mbaya.

. Hao wasukuma wanalima nini mafia na wapo kata ipi ili nipate kuwatembelea 🤔🤔.??


NA NILIVYO KUJA KUONA MAFIA NI WAJINGA ZAIDI, NI ILE TABIA YENU YA KULOGA PANTONI, ILI MSAFIRISHE WATU KUPITIA MAJAHAZI 🚮🚮🚮
 
basi wahamishwe isiwe wilaya ,kwanza wawafute wilaya inakuaje na watu 6000

. Kulingana na muundo wa mafia ulivyo, na watu hukaa mbali mbali, serikali alifanya jitahada tangu mwaka 1993 ikaamua kujenga zahanati kila kijiji na shule za Msingi na secondary, na zile zilizochakaa naona mama Samia anazijenga upya.

. Ila hawapendeki, kutwa zima chuki na watumishi wa serikali.. 🙂 🙂
 
Aiseh...?
Kumbe Mafya ni Nchi Nzuri?
Vipi Makanisa yapo?
Wakristo wana abudu kwa uhuru ?

Hivi ni Kweli Kitimoto inauzwa 18,500/= kwa kilo?
Maana mimi Kitimota ndio chakula changu pendwa:
Makanisa yapo
1. Roma ipo mjini kilindoni na lingine lipo sehemu inaitwa sehemu kirongwe,

2. Kkkt lipo kule mjini moja


3. Ndiyo kitimoto kinapatikana ila bei ni 18500 kilo kwa sababu ni hadimu kupatikana( nyama inatoka bara kuja mafia)
 
Yalizungumzwa ni kweli kabisa, nimefika huko 2014-2015 kupitia Nyamisat
Ni kweli mkuu, mtu ukimwambia hivi anahisi unachuki na labda na dini fulani, kumbe hamna..
 
☺️☺️☺️Maeneo yote ambayo wanaamini ushirikina Hakunaga Maendeleo😃
 
. Maisha ya aina hii ndo hayatakiwi hata kidogo mkuu, Hii ni Tanzania kwa nini uishi kama mkimbizi?? 🤔 🤔

. Inatakiwa uishi kama Tanzania ilivyo, tofauti na hapo mji utabaki maskini miaka Nenda ludi
 
wasambaa hawajawahi kuwa na akili timamu
 
Eeeh!, sawa mikoa ya bara ni civilized kama mnavyodai ila hili suala la kukeketa binti zenu sijalipenda kabisa. Yaani binti akivua, upepo ukipita unasikika mpulizo wa chupa ya soda
 
Bora ya huko, hata huku wanawake hawafanyi kazi ya aina yoyote zaidi ya kukaa siku zote na masaa yote.

Pia wanapenda sana umbea kuliko kitu kingine , wanaume wahuko nao wako busy sana na mambo mengine maana hawafuatilii hata mienendo ya wanawake zao.

Nimewahi kwenda wilaya kyerwa inayopatikana mkoa kagera ,yaani ni Wilaya iliyonistaajabisha sana ,asilimia 90% ya wake za watu ukimuomba papuchi hakatai , na yupo tayari muda huo huo.

Kwa siku unaweza tembezea wake za watu hata 20 , nisehemu ambayo niliishi kwa kumuomba sana MUNGU anisaidie nitoke salama salimini maana sijapata kuona niliyoyaona huko maana si kama mikoa au wilaya nyingine nilizowahi kutembelea.

Alafu watu wa huko Wilaya Kyerwa haswa wanyambo wana viburi asilia ,ujuaji , ushirikiana , dharau zilizokithiri .

Kiukweli kuna wilaya ukienda kuishi kwake ni mateso bin mateso , nilimuomba MUNGU sana project iishe nirudi na ilivyoisha nilirejea mkoa wangu pendwa until now nafurahia kwa nilipo ,watu wake ni wakarimu sana.
 
Utapigwa na chuma kizito mno
Sasa Mauwaji yanayotokea bara ndio utafananisha na Mafia ?? Angalia hapo Kilindoni kuna Baa zinapiga mziki Saa za usiku kwenye makazi ya watu,hivi huku bara ustaarab almost zero eh??? Kama wageni wenyewe ni hao sidhani kama kuna mtu anawataka,angalia wenzenu wa Western wananunuwa viwanja wanajenga wanaishi kistaarab tu.
 
. Hao wasukuma wanalima nini mafia na wapo kata ipi ili
Wasukuma ni wafanyakazi wa Mafia huwatumia kulima Mashamba na kung'owa visiki.wengi wao wanahamia na kuamuwa kuishi. Mafia ni sehemu nzuri mno imetulia bahari safi njoo Ucheze na papa kama unajuwa kuogelea wacha porojo zako,hakuna sato wala Kambale Mafia.
 
Bara kwa maana ya Tanzania bara ama ?!!

Andiko limejaa malalamiko na majungu dhidi ya hao watanzania wenzetu....

Ni sehemu gani duniani hamna baadhi ya hayo uliyoandika ?ha ha ha ha

Chumvi nyingi mno !
Hamna chumvi hapo mkuu, ukisimuliwa Huwezi kuamini ninacho sema, yani mtu anakunyima mahitaji kisa wewe tu ni mtu mgeni( na ni bora Labda unaomba lakini unanunua, roho zao zimejaa husda kwa watu wadeni

. Hii wilaya unaweza kuwa na hela mfukoni na ukala njaa. 😁😁
 
. Watu wanahisi story ya kutunga, lakini hawa viumbe ni wachoyo mno, fitna za hali ya juu, ( mgeni ukifika lazima waaze kutengeneza plan ya kukuangusha kwa namna yeyote ile.

. Duhh ulifika visiwa vya Comoros 😋😋, natamani sana kufika Comoros, sema mimi ni muoga sana njia za baharini, ( natamani nipange siku nikafanye utalii)

. Kuna wavuvi wa Comoros walikuwa wanavua, fiber iliharibika wakapigwa na mawimbi mpaka kule Bweni. Waliokolewa wamechakaa mnooo, ingawa walipatikana bado wapo hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…