Hahaha!Mbona Haina madhara kwa mtazamaji, labda ujifanye nawe gangwe.
Halafu ni fursa kwa wazee wa totoz na wanaosagula.
Vitoto kutoka malampaka, kishamapanda, nkololo, lagangabilili, Gambosi, wanakuja wamependeza kweli kweli. wengine hutokea mbali huko Lalago, Gitoha na kwingineko.
Cheki maujanja na mchawi mkuu wa mkoa anapotangazwa.
Yet, wakija pwani wanalalamika uchawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanajiona wao Bora?
Eti wasomi?
Kule kaliua na Urambo hata ukigonga bata , lazima umtafute mwenye bata tuombe radhi bila hivyo safari yenu hamfiki.
Mimi nikuwaona huko wanavyobehave, Huwa naishia kuwacheka
Hii ni uongo wa wazi?Itakuwa hivyo mkuu, kwa sababu hivi visiwa vya Comoros vipo karibu sana na mafia hata taa zikiwaka usiku unaona,
Pia kuingia Comoros hakuhitajiki passport, ila kutoka Comoros kwenda France ndo utahitajika kuwa na passport. ( na ni sehemu ambayo meli kubwa za mizigo hupita hayo maneno hivyo Yawezekana walipita njia za mikato mikato mpaka kuwasili mafia.
Mkiambiwa huko kale kulikuwa na nchi iliitwa Azania ndio muelewe.Duhhh, 🙂🙂🙂 basi watu wa ukanda wa bahari Yawezekana tabia zao ni moja.
Nina miaka 15 naishi mikoani, na hivyo vyote ulivyo andika sio shida kuvimiliki.zamani nilivyoishi pwani nilikuwa nafikiri kama wewe, kwanza niliona watu wa pwani ndio waelewa na civilized. nimekuja kuishi mkoani kwa muda fulani, kila nikirudi bongo na pwani nawaona watu wa huku washamba mno, hawajui maisha, hawana maisha, hawana pesa, hawana uhakika wa kula/maisha, uhakika wa kujenga, uhakika wa kumiliki ardhi n.k na hata wakiongea unawaona wapo backward mno yet wanajifanya wajuajiiiii na watu wa mjini. najua huwezi kujitambua kwa hilo and that is what well defines you.
Wa kisiju pwani nae akifika huko anatengwa au wa Nyamisati?Mkuu huku, hata aje Muislamu kutoka bara, anatengwa , yani Kiujmla hawataki watu wa kutoka bara, na ukiwa dini tofauti na Uislam ndo kabisa kukubalika ni ngumu.
Kuna jamaa hapa ni wa bara, dini ni Muislamu, mpaka Sasa amepewa case ya kubambikwa ya kumbaka mwanafunzi,
Kipi ambacho Kishapu au Ushetu kipo?Wewe una kichaa kweli kishapu,ushetu kuna Uislam mwingi? We umechanganyikiwa sio bure,kuliko na Uislam mwingi ni pwani huko na kumejaa umaskini ujinga na udini
Huyu apigwe mwangeni akajitibie kwao hukoWewe jamaa Nyafwili umeisagia kunguni sana Mafia, angalia usije kupewa busha au mshipa. Nimepata mzuka wa kutembelea huko kujionea si kuambiwa .
Kweli mkuu upo sahihiHahaha!
Basi mkuu, imetosha.
Sisi sote watanzania.
Kuliko Wachaga wa machameTabia za kimchengerwachengwera au Tabia za kiubinafsi ubinafsi
No reform no electionUtapigwa na chuma kizito mno
Upo sahihi kabisa.Kweli mkuu upo sahihi
Mimi nilipotembelea kisiwa Cha ukerewe.
Niliyaangalia mazuri ya ukerewe
Hali ya hewa
Uoto wa asili
Mandhari ya kisiwa
Ila kwenye kundi tulilo enda wezangu walikuwa wanazungumzia Mabaya tu.
Oooh kisiwa maarufu ila paliko endelea kidogo ni Nansio tu
Na negativity nyingine
Hivyo perception ni muhimu
Ndio kama huyu jamaa kwenye hii mada
Mkuu, hili sikuwa nalifahamu.Watu wa komoro ni wamakonde toka Mtwara na Nchumbiji.
Kama ilivyo asili ya watu wa Mafia ni wanyagatwa ambao ni sehemu ya kabila kubwa la Wandengestan
. Hizi siyo mila mkuu, uchoyo ni mila gani hiyo???, kama siyo Roho za kichawi tu... Kama na wewe upo miongoni mwa kabila hilo Badilika..Kinachosumbua Tanzania wala sio Ccm ila ni watu wa aina ya mtoa mada na kiu ya kanisa kutaka watu waishi kama wanyama wa polini wanatamani kila Mtu aishi kimbwa mbwa kinguruwe nguruwe hawapendi kuona jamii fulani ikitunza mila na tamaduni zake.
Mtoa mada taja mkoa uliyotoka tukutajie na Tabia zenu.
. Ukitaka upewe busha huku, jaribu kuiba nazi Aiseeeeee, hii kesi ni mbaya sana. Ni afadhali uibe mke wa mtu 😁😁😁😁.Wewe jamaa Nyafwili umeisagia kunguni sana Mafia, angalia usije kupewa busha au mshipa. Nimepata mzuka wa kutembelea huko kujionea si kuambiwa .
Dah! Hiyo namba 15 imenifurahisha sana. 😁Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.
HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.
Duh! 😁Kwa hili serikali waliona mbali, hawa watu Aise hapana.. Hata ukienda mgahawani ukiwa mgeni unapewa wali maharagwe,. Ukiulizia samaki wanakwambia wameisha, kumbe wapo. 😁😁
Nimekupata mkuu 👏👏👏👏Hii ni uongo wa wazi?
Komoro bila pasipoti huingii
Waburushi asili Yao ni Asia na sio Komoro.
Watu wa komoro ni wamakonde toka Mtwara na Nchumbiji.
Kama ilivyo asili ya watu wa Mafia ni wanyagatwa ambao ni sehemu ya kabila kubwa la Wandengestan