Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

We dada wewe...😳😳
 
Ni balaa sana huko Mafia ni Mafia kweli, Napenda pale Nyamisati mishe zake walau pamechangamka
 

Kwangu mie nilichokiona Mafia haya yote yanatokana na ukosefu wa miundombinu ya kuleta maendeleo! Usafiri wa uhakika ni ndege tu, meli ipo ila mbovu mbovu.

Panapokuwa na maendeleo ni lazima mambo yabadilike, sehemu zote ukienda ambazo hazina maendeleo hali huwa ni kama hivi. Wanakuwa na dhana zao ambazo zinahitaji exposure kuziondoa.

Mfano; Unakujua sehemu initwa Dabaga huko Iringa? Ushawahi kufika ukasikia dhana zilizopo huko? Utacheka ufe lakini basi lililokuwepo lilikuwa moja tu linaitwa 'vitu laini'.

Ushawahi kufika Ukerewe?? Acha kisiwa kikuu kuna visiwa vingi sana sasa kuna vile vipo hukooo ndani ndani kabisa!! Wanakoamini bila uchawi huwezi kuishi!! Mgeni ukifika wanakushangaa.

Ushawahi kufika Ludewa ya zamani kabla ya lami? Kule pembezoni mwa ziwa Nyasa?

So, mie naamini kila jamii ina mambo yake maendeleo yanapofika ndipo ustaarabu na mapokeo mapya huja.

Mafia nilikaa nao vizuri tu, kikubwa usiende kwa dharau na kujifanya wewe unajua zaidi na wao ni wajinga. Mie nilipewa mpaka mke, nikitaka nioe nikawaambia ninae tayari. Sitaki mke mwingine.

Kuhusu wanasiasa!! Hiyo ni akili ya mtu binafsi, mabosi wangapi tunakula nao bata mjini wakifariki maiti inaingizwa kwenye nyumba ya babu yake mwenyewe hakujenga.

Huwa siafiki sana dhana za kusema mila na tamaduni za sehemu nyingine kana kwamba wewe kwenu hakuna!! Kama umeacha mila zenu ni wewe ila kwenu wanafanya so usinicheke mie kuwa kwetu wana mambo ya kizamani. Hakuna jamii isiyo na mila na tamaduni, ambazo hizo ndiyo mwenendo wa tabia za jamii!! Kikubwa nidhamu
 
. Hapa umezungumzia mapokeo lakini siyo Roho ya mtu alionayo,

. Nimeenda mikoa kadhaa lakini huku pwani unanyimwa kitu hata kama unataka kununua kwa hela yako..

. Mazingira yanaweza kuwa mabovu ndiyo lakini moyo wa mtu usiendane na ubovu wa mazingira...
 
Ni peace ila ni watu ambao aibu hawana
Ni kweli asee, watu wa pwani hasa wanawake hawana tafsida kabisa na lugha za matusi kwao lugha za kawaida tu zinazungumzwa hadharani wakiwa wenyewe wenyeji ila saa nyingine wanajisahau hata mgeni ukiwepo wanabwatuka tu, mambo ya mapenzi kwao pia hawajifichi fichi!
 
Blood mi mama angu yupo huko...
Ila kibiashara.
Amekomaa miaka kama m4 hv sijaskia akilalamika ila najua tuu na yeye ni masta dadek...

Wakijifanya wao mafundi watajua hawajui kwa picha linaanza mumewe mama ni mwamba wa ilm akhera....

Alafu kuna kipindi alitaka nikamsalimie ila nikafikilia sana nikasema weeeh tulieni kwanza..

Kuna njia ya kutoka mafia mpka kilwa kivinje ila hiyo njia ni sawa na kuvaa bomu...

Kwa kweli mi sehemu yoyote tanzania naishi, iwe vipi mi nakaa

Hi kutokana na kuwa socialize sana. Ukikutana na jamii inayokzunguka ipo too dangerous wee shuka then tumia akili..

Watu wanapenda sana kuonekana wao ni miamba hvo kwa staili hyi utaishi na kila mtu.

Kingine we kuwa simple usifanye life too complicated..

Kwa sasa nipo dasalqm ila nakaa na vijana wangese sana an ile critical thinking hawana hawa kenge...

Wanajua maisha ni kuvaa na kuongelea wadada tuu yaani ujinga ujinga....

Ila kwa uliypongea mkuu wala sikupingi tunaishi na watu hao hata hapa hapa dasalam kuna mijitu haiamini kutoboa bila uchawi
 
Itilima ni Simiyu hiyo.

Nasikia Itilima ukitembea usiku tembea at your own risk, wala si cha ajabu kukutana na kundi la watu wakiimba😁.
Mkuu kwanza jina ndo kwana nasikia dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa huko mgeni ukienda alafu mi kaleta pigo za mwamposa unaweza kupona kweli
 
Mkuu kwanza jina ndo kwana nasikia dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa huko mgeni ukienda alafu mi kaleta pigo za mwamposa unaweza kupona kweli
Tanzania yetu ni kubwa sana mkuu.
Itilima ni miongoni mwa wilaya mpya zilizoanzishwa nafikiri mwaka 2019. Kabla ilikuwa ndani ya wilaya ya Bariadi.

Kule sasa ni imani yako tu, ukienda na pigo za Mwamposa uwe umekaza kwelikweli, maana mpaka makanisani utasikia mpaka sauti za waimba kwaya halafu wanakwaya wenyewe usiwaone😁😹.
 

Mbona Mafia nimekaa hapo sijanyimwa kitu!? Nimetoka Moshi mji wa kwanza Mafia Kilindoni, nimekaa vyema sana labda kama ulikuwa na behaviours zako tofauti.

Kuna watumishi wa NMB hapo, wamekaa vizuri sana, waalimu kutoka sehemu tofauti. Why wewe useme ulinyimwa?? Kwamba unataka kununua kuku mtu hakuuzii sababu hakujui??? You are not serious bro?? Something fishy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…