Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Kwa hili serikali waliona mbali, hawa watu Aise hapana.. Hata ukienda mgahawani ukiwa mgeni unapewa wali maharagwe,. Ukiulizia samaki wanakwambia wameisha, kumbe wapo. 😁😁
hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
 
No 15 nimecheka sana yaani
 
Tatizo la watu wa pwani ata wakiwa na pesa wanaishi kimasikini.
 
hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
. Yani wazawa wa huku ni wachoyo, ukiangalia kwa ukaribu zaidi huwa wanapandikizwa chuki, ( haiwezekani vitu wauziane wao kwa wao Alafu mgeni anyimwe so kuna kitu hapo huwa wanaambizana.)
 
Ndo hivyo mkuu, hata ukute wanauziana samaki hapo, utajibiwa tu samaki hawauzwi.. Labda tu upate mpenzi alafu awe anakuibia samaki alafu akuletee nyumbani vinginevyo utakula maharagwe mpaka basi.
Hahahaha ha.. Mkuu hii mie haikunikuta mbona.. Nilikaa 2 years.. Sema kilichonitoa ni kuona kuwa I don't see my future.. Yaani kukaa kutegemea mshahara tu ni ngumu.. Ilikuwa 2017 hukooo
 
Hahahaha ha.. Mkuu hii mie haikunikuta mbona.. Nilikaa 2 years.. Sema kilichonitoa ni kuona kuwa I don't see my future.. Yaani kukaa kutegemea mshahara tu ni ngumu.. Ilikuwa 2017 hukooo
Kama we ni ke, utakuwa ulimshika maskio mvuvi siyo bure 😁😁😁, maana siyo tabu ya mboga tunayoipata huku.
 
Kama we ni ke, utakuwa ulimshika maskio mvuvi siyo bure 😁😁😁, maana siyo tabu ya mboga tunayoipata huku.
Hakuna.. Halafu nilikuwa nakaa karibu na beach kule kwenye nyumba za halmashauri, so ilikuwa ndio njia yao wakitoka baharini kwa upande wa kuhusu hospital ilipo.. So nilikuwa napata tu.. Eeh nimemiss samaki aisee..

Hivi hapo kwa Carlos bado kupo active?
 
. Nyumba za halmashauri karibu na chicho au hotel ya katasi ??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…