Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Sasa wewe ulikwrnda kufanya njni huko?
 
Kibaha inakuja kasi sana
Sawa, lakini tunakosa kabisa uono wa kuweza kuunganisha viwanda na mashamba vinavyozunguka katika huu mkanda wa Pwani na fursa za kibiashara za Dar?

I mean considering the fact that Dar is an international business stop, our coastal regions should be flourishing business wise and the rate of unemployment would have been so low compared to what’s going on now.

Ulitegemea ukute big big offices za viwanda vya hapo Kilosa ama Mkuranga ama Bagamoyo katika mitaa ya Posta mpaka Kariakoo badala yake utawasoma foreign businesses ( Asian ) mostly! Why??
 
Ukitaka kujua hivi sasa JF imejaa Vilaza ni jinsi walivyoamini kila ulichoandika! Wewe Nyafwili ni MUONGO, tena MUONGO WA KUTUPWA! Mfano mdogo tu, bila aibu unadai eti kwavile Kimbau alikuwa hana nyumba ikabidi amkaribishie Kikwete msikitini!! Na kuhusisha Mafia na "hata 200KM za lami...." inaonesha hata Mafia yenyewe huijui! Eti ukienda hotelini kama mgeni hupewi samaki hupewi- kheee!! Ulienda Mafia ipi wewe?! Suala la eti vijiji vingine wanadhani dini ni Uislamu tu ni uongo mwingine kwa sababu binafsi nimezunguka Mafia yote, na wilaya ndogo sana ambayo wanakijiji wake lazima wawe wamefika mjini. Na ukifika tu Kilindoni ambako ndo makao makuu ya wilaya, fasta unakutana na makanisa. Kwa mfano, enzi hizo mie bado nilikuwa Mkatoliki na kanisa letu ndo kidogo lilikuwa "kando" kidogo na mji lakini ile kuteremka tu airport umbali mfupi tu nikakutana na kanisa la KKKT. Nimeenda mbele kidogo tu, nikakutana na baa, na hapo hapo nikamla mdudu. kitu ambacho sitasahau kwenye ile baada walikuwa wanauza samaki ya kuchoma wenye ndimi; watamu ile mbaya! Sasa sijui Mafia uliyoenda wewe ni ipi!

Hivi kuna kilaza aliyekuamini suala la eti milango ya nyumba haifungwi kwa kufuli?! Hizo starehe za dunia unazosema wewe ni zipi?! Mfano mdogo tu nimekupa hapo juu kwamba ukitoka airport, ukitembea umbali mfupi tu unakutana na bar, ukitembea tena mbele kidogo unakutana na baa nyingine. Siku ya kwanza nafika tu mwenyeji wangu akanipeleka disco, sikumbuki ule ukumbi unaitwaje lakini nilikuta nyomi ambalo binafsi lilinifanya nishindwe kukaa ndani! Kwa wenyeji wa Mafia labda watakuwa wanaufahamu huu ukumbi; nadhani haupo mbali sana na maeneo ya uwanja wa ndege au mitaa ya Ismailia. Sasa starehe zipi unazosema wewe? Au kwa mji mdogo kama Kilindoni ulitarajia ukute makahaba wamejipanga barabarani kama ilivyo kwenye miji mikubwa?! Kuna starehe ipi kwa maskini ukiondoa pombe na wanawake?! Sasa ikiwa hadi baa zipo, kumbi za disko zipo! Hivi ni wapi tena unatarajia ukute wanawake zaidi ya maeneo kama hayo ambayo kwa necha yake tu pombe zipo?!
 
. Sema umeandika notes ndefu lakini sijaelewa ulichokiandika zaidi ya kuita wana jf ni vilaza....

. Kwa hiyo ulivyo fika kilindoni/kigamboni ukaelekea wapi na wapi??, au uliletwa kilindoni na ukaludishwa bara siku hiyo hiyo ?? 🤔 🤔
 
Umeandika uongo kuhusu MAFIA. sijui unalenga nini?
Mzee kimbao hajawahi mpelrka JK msikitini
 
Umeandika uongo kuhusu MAFIA. sijui unalenga nini?
Mzee kimbao hajawahi mpelrka JK msikitini
Hiyo Huwezi kujua kama siyo mwenyeji wa huku, na mufuatiliaji wa matukio ya kijamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…