Sio UKALUDISHWA, bali UKARUDISHWA! Narudia, wewe ni MUONGO! Nishafika si mara moja wala mara mbili maeneo mbalimbali ya mafia kuanzia mitaa ya pale mjini kama vile Dongo, Kichanguchui, Ismailia, na mengine hadi vijijini kama vile Bweni kwa akina Ramadhani Dau, kushuka Kanga, Bweni, Baleni, kwa upande wa kaskazini hadi Utende na Chole kule kote nimevuruga, bila kusahau Bwejuu na Jibondo ambavyo ni visiwa ndani ya visiwa kama ilivyo Chole bila kusahau kwenye mashamba ya kamba ambayo ndo kazi iliyokuwa imenipeleka huko kupitia Alphakrust! WEWE MUONGO!. Sema umeandika notes ndefu lakini sijaelewa ulichokiandika zaidi ya kuita wana jf ni vilaza....
. Kwa hiyo ulivyo fika kilindoni/kigamboni ukaelekea wapi na wapi??, au uliletwa kilindoni na ukaludishwa bara siku hiyo hiyo ?? 🤔 🤔
Danganya wanaoandika "ludi" badala ya "rudi"! Hao ndo wanaoweza kumeza kila kitu bila kutafakari!Hiyo Huwezi kujua kama siyo mwenyeji wa huku, na mufuatiliaji wa matukio ya kijamii
Dah! Jamaa liongo sana hili.Umeandika uongo kuhusu MAFIA. sijui unalenga nini?
Mzee kimbao hajawahi mpelrka JK msikitini
Ndo matatizo yenu wabongo! Yaani kuna mtu unafahamiana nae anayetoka Mafia ndo tayari unadhani unaijua Mafia kwa sababu ya mtu mmoja unayemfahamu?! Mimi nilienda Mafia na mwanangu mmoja kwenye kampuni moja inayojihusisha na masuala ya marine exports. Moja ya mambo ambayo nitayajutia kuna kipindi serikali walikuwa wanauza viwanja mie nikavipotezea kwa kuona "nitaishi vipi kwenye kamji kadogo kama haka"! Yule mwanangu ambae nilienda nae nilimwacha kule kule, na kazi akapiga chini akaanza maisha kwa kufungua baa na hapa ninaposema anamiliki guest house huko huko!! Hiyo ndo sehemu ambayo huyo anawadanganya Wageni wanachukiwa! Tena kwa mara ya kwanza nilienda Mafia kabla hajapakuwa na mwingiliano mkubwa wa watu; seuze hivi sasa ambapo zaidi ya nusu ya wakazi ni wenyeji wa bara?!N wabinafsi sana kuna mtu kutoka mafia nafahamiana nae, 90% ya yaliyosemwa anayo.
Shangaa wewe sasa! Sasa mtu unauza chakula na samaki lakini ukiona mgeni hutaki kutoa samaki! Hivi inaingia akilini! Huyo Mzee Kimbau anayesema hana nyumba ikabidi JK afikie msikitini, kwa wakati huo alikuwa na hotel kubwa tu ikiitwa Habor View Hotel ambayo ilikuwa ufukweni! Na hata kama kweli ingekuwa Kimbau hana nyumba, hivi kweli inaingia akilini Kikwete akose pa kufikia na badala yake afikie Msikitini wakati Mafia pande za Utende ni Tourist Circuit yenye hoteli za kitalii?! In short, huyu Nyafwili ni MUONGO!!hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
Uislam umewachanganya akili sana hawa watu, yaani sheikh na imam ndiyo watu muhimu kule shinda hata rais au mkuu wa Wilaya. Ukila mara tatu kwa siku na majirani wakajuwa hivyo, basi utasomewa kisomo ili uchukie kula. Yaani wana ujinga kama Wazanzibari vile, kufanya kazi kwao ni haram na kula pia kwao ni haram..Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.
HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.
Tutajie hizo hoteli za MafiaShangaa wewe sasa! Sasa mtu unauza chakula na samaki lakini ukiona mgeni hutaki kutoa samaki! Hivi inaingia akilini! Huyo Mzee Kimbau anayesema hana nyumba ikabidi JK afikie msikitini, kwa wakati huo alikuwa na hotel kubwa tu ikiitwa Habor View Hotel ambayo ilikuwa ufukweni! Na hata kama kweli ingekuwa Kimbau hana nyumba, hivi kweli inaingia akilini Kikwete akose pa kufikia na badala yake afikie Msikitini wakati Mafia pande za Utende ni Tourist Circuit yenye hoteli za kitalii?! In short, huyu Nyafwili ni MUONGO!!
Tena sio muongo tu bali pia ni chizi!Shangaa wewe sasa! Sasa mtu unauza chakula na samaki lakini ukiona mgeni hutaki kutoa samaki! Hivi inaingia akilini! Huyo Mzee Kimbau anayesema hana nyumba ikabidi JK afikie msikitini, kwa wakati huo alikuwa na hotel kubwa tu ikiitwa Habor View Hotel ambayo ilikuwa ufukweni! Na hata kama kweli ingekuwa Kimbau hana nyumba, hivi kweli inaingia akilini Kikwete akose pa kufikia na badala yake afikie Msikitini wakati Mafia pande za Utende ni Tourist Circuit yenye hoteli za kitalii?! In short, huyu Nyafwili ni MUONGO!!
Mkuu mimi bro wangu alishawahi kufanya kazi Mafia. Sasa unaposema hawauzii wakuja samaki mbona yeye alikuwa akituma mzigo wa samaki kupitia Coastal aviation kuja Dar?Ndo hivyo mkuu, hata ukute wanauziana samaki hapo, utajibiwa tu samaki hawauzwi.. Labda tu upate mpenzi alafu awe anakuibia samaki alafu akuletee nyumbani vinginevyo utakula maharagwe mpaka basi.
Utaikuta anauza nazi na anazo nazi kumi hapo mezani pale. Ukimwambia unataka kununua zote anakukatalia, kisa je atakwenda wapi muda wote uliosalia hadi ifike jioni?Kwa hili serikali waliona mbali, hawa watu Aise hapana.. Hata ukienda mgahawani ukiwa mgeni unapewa wali maharagwe,. Ukiulizia samaki wanakwambia wameisha, kumbe wapo. 😁😁
Ni kwamba una mashaka ikiwa kweli zipo, au?! Au kwavile umeamini aliyoongea huyo kiumbe?! Sio issue lakini nikisema mimi utasema nadanganya lakini hizi ni chache tu kutoka bookings.comTutajie hizo hoteli za Mafia
Acha kusikiliza porojo! Tatizo kubwa la Mafia ni elimu lakini tatizo hilo halitokani na Uislamu wao bali mazingira kwa sababu walimu kutoka bara walikuwa hawaendi, na moja ya changamoto kubwa ilikuwa usafiri kwa sababu kama huna pesa ya kuchukua flight basi ukapande mashua na boti za uongo na ukweli ambazo kwa sababu tu zimewekwa mashine ya yamaha ndo wanaita boti! Nakumbuka miaka ya nyuma kuliibuka mvutano mkali bungeni kuhusu walimu waliokutwa Mafia ni wale ambao wengine walikuwa na zero kabisa Form IV. Mbunge wa Mafia akasema waletewe basi hao wenye Div 1 na watafurahi sana lakini kwavile wakipelekwa hawaendi wakaamua kuokoteza okoteza tu vijana waliosoma pale pale bila kujali wamepata div gani, wakawapeleka chuo cha ualimu. Sasa hapo watoto wakifeli ndo useme Uislamu?!Uislam umewachanganya akili sana hawa watu, yaani sheikh na imam ndiyo watu muhimu kule shinda hata rais au mkuu wa Wilaya. Ukila mara tatu kwa siku na majirani wakajuwa hivyo, basi utasomewa kisomo ili uchukie kula. Yaani wana ujinga kama Wazanzibari vile, kufanya kazi kwao ni haram na kula pia kwao ni haram..
Asipokuwa makini inakuwa kansa ya damu na ngozi kuitibu huwezi.Nilikuwa na 19yrs ndo nilipojua fungus ni nini muda wote mkono kwenye sketi anajikuna tu
Kazi mbovu ni nomaKama umezoea totoz za town, Yeah kazi ni mbovu , ila Simba akikosa nyama basi, unaweza kula hata majani tu mkuu.
Sijui hata yupo kona ipo kwa sasa, atajijua bhanaAsipokuwa makini inakuwa kansa ya damu na ngozi kuitibu huwezi.
Umeitaja ukerewe kimakosa au umemaanisha.Ukiendeleza na kusaidia wilaya au mikoa ilioko visaiwani kupata maendeleo ya watu na vitu utapata tabu sanaa, soon wana anza kudai kujitenga kufanya nchi yao kwasbb tayari mipaka wanao, CCM hilo inalijua vizuri ndo maana mafia pemba Ukelewe nk bado ni duni kimaendeleo na elimu iko chini sanaa, kwasbabu za politics
Ahsante sana mkuu.Ni kwamba una mashaka ikiwa kweli zipo, au?! Au kwavile umeamini aliyoongea huyo kiumbe?! Sio issue lakini nikisema mimi utasema nadanganya lakini hizi ni chache tu kutoka bookings.com
View attachment 3317820
Tena niweke kumbukumbu sawa, na yeyote anaeifahamu Mafia atakubaliana na mimi! Hapo juu, hotel ya 2 na 3 zinaonesha zipo Kilindoni lakini kwa Mafia Kilindoni sio sehemu zenye hotel mzuri kwa sababu ingekuwa Dar, Kilindoni labda ni kama Kariakoo (sio kwa kujengeka). Hotel za maana zipo Utende sawa na hiyo ya kwanza hapo juu.
Walimu hawataki kwenda kule kwa sababu watoto hawataki shule na wazazi hawaoni umuhimu wa shule au kwa watoto wao kusoma. Kwao kwenda madrasa ni muhimu zaidi ya kwenda shule kuliko kusoma na kupata elimu ya ushindani maishani.Acha kusikiliza porojo! Tatizo kubwa la Mafia ni elimu lakini tatizo hilo halitokani na Uislamu wao bali mazingira kwa sababu walimu kutoka bara walikuwa hawaendi, na moja ya changamoto kubwa ilikuwa usafiri kwa sababu kama huna pesa ya kuchukua flight basi ukapande mashua na boti za uongo na ukweli ambazo kwa sababu tu zimewekwa mashine ya yamaha ndo wanaita boti! Nakumbuka miaka ya nyuma kuliibuka mvutano mkali bungeni kuhusu walimu waliokutwa Mafia ni wale ambao wengine walikuwa na zero kabisa Form IV. Mbunge wa Mafia akasema waletewe basi hao wenye Div 1 na watafurahi sana lakini kwavile wakipelekwa hawaendi wakaamua kuokoteza okoteza tu vijana waliosoma pale pale bila kujali wamepata div gani, wakawapeleka chuo cha ualimu. Sasa hapo watoto wakifeli ndo useme Uislamu?!
Mkuu, sio kweli! Kwanza hebu tuwe objective kidogo! Hivi kweli Mwalimu anaweza kukataa kwenda mahali eti kisa watoto hawataki shule? SERIOUS? Unazungumzia Walimu wa Enzi za Nyerere au hawa hawa ambao hata hizo shule ambazo wanafunzi wanajazana hadi kwenye dari bado unakuta walimu wanakacha vipindi?Walimu hawataki kwenda kule kwa sababu watoto hawataki shule na wazazi hawaoni umuhimu wa shule au kwa watoto wao kusoma. Kwao kwenda madrasa ni muhimu zaidi ya kwenda shule kuliko kusoma na kupata elimu ya ushindani maishani.