Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Hawa watu wa pwani ni wa binafsi sana, sijawahi kuona.
Mimi natokea Zanzibar kabisaa, nakubaliana na wewewe, ukiitoa Zanzibari na Mombasa zilizoendelea tangu karne nyingi nyuma basi hivi visiwa vingine hakuna maendeleo

Wao Dini wanayo ila wanfikiri basi kila jambo kwao (Bid'aa) hapa Waislam wananielewa. Kumbe mengine ni maendeleo yao na vizazi vyao ati
 
Wageni wakifika huku hawakai mda mrefu, maana figisu ni za hali ya juu..
Hii ya Figisu na Majungu ipo katika jamii nyingi za Watu wanaoishi kibinafsi hasa kama ni kabila moja tu

Nshawahi kufanya kazi huko UGWENO, MWANGA ipo Kilimanjaro, Mie natoka Zanzibari, basi watu wa kule nao tabia zao ni hizihizi sheikh, Ila wao wanapenda maendeleo
 
Kumbe ni Stratergy kabisa, Nimekuelewa sasa
 
Usisahau kuna mkuu wa Wilaya huko alisema hakuwahi kuona eneo watu wanafiran* kama hilo kwa hapa Tanzania.
 
Ndiyo mkuu, kitimoto ni Tsh 18500 kwa kilo, bia zipo, waarab/waburishi wapo, nyama ng'ombe zinachinjwa kwa ratiba, hivyo utalazimika kujiunga kwenye magroup mbali mbali ili kujua kinachojiri..
Mkuu naomba uniunge kwenye hilo group au uniconnect na watu maarufu wa Mafia
 
Beach zao ni safi? Na huyo Mtoa mada ameuliza kama kwny beach zao kuna makelele za wazuvi ns hekaheka mchana?
 
Beach zao ni safi? Na huyo Mtoa mada ameuliza kama kwny beach zao kuna makelele za wazuvi ns hekaheka mchana?
Hamna heka heka mkuu, kuna bahari mama, na Bahari baba,

Wavuvi kuna sehemu na sehemu ndo wanavua.
 
Sehemu ambapo mwarabu alipeleka dini yake ya mnyaaaazi ndio tabia zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…