Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Yaani hata za 40,000 / 50,000 hakuna, kwahiyo ni kulala mwendo kuanzia laki......hatari hiiHazipo mkuu, huku zipo lodge za kitalii tu ambazo zimejengwa pembezoni, na lodge za pale mjini kilindoni-kigamboni,
Ulozi huwa unampata mtu mwenye ulozi pia lakini ukiwa huna kitu huwa unakurukaUko vizuri au tia maji tia maji kwenye ulozi??
Mdau kasema wana msemo "ukimroga mbara basi mroge afe"
Nyinyi ni watu ambao mnaona ni bora kuliko wengine ndio maana mnatengwa halafu mnakuja kulaumu watu eti ni wabaguziSio Rahisi, leta na wewe tabia za watu wa mafia hapa.. Ili tuchangie hoja. 🙂 🙂
Itakuwa hivyo mkuu, kwa sababu hivi visiwa vya Comoros vipo karibu sana na mafia hata taa zikiwaka usiku unaona,Wanatokea Pakistan, eneo linaitwa Balochistan. Walifikaje Bongo sijui vizuri ila kuna wakati enzi za Mkapa nadhani serikali iliamua kufuatilia kuweka sawa ishu ya uraia wao, ni kama waliingia nchini illegally wakazaliana kwa kasi kwenye maeneo mbalimbali walikotia kambi.
Mgogoro wa india na pakstani kulisababisha hao watu kusambaa Sana wengi ilikuwa kipindi cha harakati za uhuru wengi walienda Tanzania south africa nchi nyingine km kenya ziliwatimuaWanatokea Pakistan, eneo linaitwa Balochistan. Walifikaje Bongo sijui vizuri ila kuna wakati enzi za Mkapa nadhani serikali iliamua kufuatilia kuweka sawa ishu ya uraia wao, ni kama waliingia nchini illegally wakazaliana kwa kasi kwenye maeneo mbalimbali walikotia kambi.
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.
HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.
Tanzania,sehemu yenye uislamu mwingi inakuwa na sifa za m.umaskini,ujinga,ubinafsi,na udiniJamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.
HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.
Mm nilikuwa napenda muda wa likizo kwenda kutulia apo ruvu alikuwepo broNilinunua kiwanja chalinze puuuh wale ni mbwaaa
pangani pia pako hivyo hivyo. hata hawafungi milango wanapoondoka. wanaweza kuuacha wazi.Ila nadhani hapatofautian sana na miji mingine ya pwani kama kilwa na lindi.ubinafsi na umwinyi
. Yeah sehemu za kuogelea zipo kwa uchache,Vipi maisha maeneo ya ufukweni unaweza kutoka out ukaogelea na bikini? Na je beach zao zikoje, white sand na blue ocean au ni mwendo wa kelele na hekaheka za wavuvi?
zamani nilivyoishi pwani nilikuwa nafikiri kama wewe, kwanza niliona watu wa pwani ndio waelewa na civilized. nimekuja kuishi mkoani kwa muda fulani, kila nikirudi bongo na pwani nawaona watu wa huku washamba mno, hawajui maisha, hawana maisha, hawana pesa, hawana uhakika wa kula/maisha, uhakika wa kujenga, uhakika wa kumiliki ardhi n.k na hata wakiongea unawaona wapo backward mno yet wanajifanya wajuajiiiii na watu wa mjini. najua huwezi kujitambua kwa hilo and that is what well defines you.Halafu vinajiita visukuma ila vinaoana wao kwa wao, wamedumisha tamaduni zao, hawachangamani.
Wana connection na watu wenye asili Yao.
Hawa Wasumbwa, Wanyantuzu, Wanyeng'weli, Wanyanzerege, Wadakama, Wazinza, Wanasa
Wote ni vibaraka yaani watwana kwa hao jamaa.
Yet, mkija Mikoa ya pwani, mnafikiri tamaduni zenu ni Bora zaidi nau tamaduni wenu ni sahihi.
Kitu hiki sio sawa.
Ukienda bariadi kila mwezi wa 5, wanacheza mbina Ili kuonyesha uchawi waziwazi.
Huchaguliwa mchawi mkuu
Mganga mkuu
Hawa watu husherehekea uchawi wazi wazi na sio jambo la kuficha.
Mkuu huku, hata aje Muislamu kutoka bara, anatengwa , yani Kiujmla hawataki watu wa kutoka bara, na ukiwa dini tofauti na Uislam ndo kabisa kukubalika ni ngumu.Nyinyi ni watu ambao mnaona ni bora kuliko wengine ndio maana mnatengwa halafu mnakuja kulaumu watu eti ni wabaguzi
Unawaone tu. Kama ungekuwa umewahi kutembelea nchi nzima ya mbeba maono, ungeona anavyobeba maangamizi na si maono kama anavyodanganywa na machawa wake.Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.
HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.
Noted mkuu✅Mgogoro wa india na pakstani kulisababisha hao watu kusambaa Sana wengi ilikuwa kipindi cha harakati za uhuru wengi walienda Tanzania south africa nchi nyingine km kenya ziliwatimua
Wewe una kichaa kweli kishapu,ushetu kuna Uislam mwingi? We umechanganyikiwa sio bure,kuliko na Uislam mwingi ni pwani huko na kumejaa umaskini ujinga na udiniPale Shinyanga, Ushetu, Kishapu Uislamu hauna nguvu ?
Ukitoka hoja hiyo hata sisi tunawaita Wamanga Koko, vipi hapo?
Kwamba sio tajiri bali matajiri wenu ni waarabu, unaijua nguvu ya fedha wewe?
Hata sisi unatetea nini hapa?