Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwani kamchapa AJ?Nina uhakika 100% Wilder hana uwezo wa kumkalisha Floyd licha ya Floyd kuwa na uzito mdogo kuliko Wilder lakini kila nikiwaweka wapinzani wa Wilder wanaochakazwa uwanjani nafasi yao nikimuweka Floyd naona kabisa zile ngumi za kizembe wanazopigwa angekua ni Floyd asingepigwa hata moja.
Pia staili ya Wilder kumfuata mpinzani wake hali ya kuwa kaachia wazi sehemu kubwa ya mwili wake naona kabisa angedokolowa ngumi nyingi sana mpaka maji angeita mma.
Hakika Floyd ni the most defensive genius ever hata Wilder hawezi kupangua defense ya Floyd
Kwa jinsi alivyoenyeshwa na Ortiz na poor defensive technique zake akikutana na AJ anapotea mapema tu.Kwani kamchapa AJ?
AJ kwa Wilder mchumba tuKwa jinsi alivyoenyeshwa na Ortiz na poor defensive technique zake akikutana na AJ anapotea mapema tu.
Akimpiga AJ ndo ntaamini....maana AJ moto wake si'wakitotoKwa jinsi alivyoenyeshwa na Ortiz na poor defensive technique zake akikutana na AJ anapotea mapema tu.
Hata Ranks hazidanganyi. Wilder ana heavy open punches ambazo akikutana na mtu kama AJ anapasuka mapema tu.AJ kwa Wilder mchumba tu
Kwa jinsi alivyoenyeshwa na Ortiz na poor defensive technique zake akikutana na AJ anapotea mapema tu.
AJ aliponea chupuchupu kuchapwa round ya tano na klitshko angekuwa Wilder ndo Klitshko hicho ki AJ kingefia mbaliWilder anaeza shinda kwa AJ endapo akiwa vzr kwnye defence tofauti na hapo atachakaa mapema sana,,,, kilichomkuta round 7 kwa ortiz, angekua AJ yule tyr mapema pambano lingeisha
Huyo AJ kama anajiamini mbona anamkwepa Wilder?Hata Ranks hazidanganyi. Wilder ana heavy open punches ambazo akikutana na mtu kama AJ anapasuka mapema tu.
Mzee Klitschko ni kizazi halisi cha ngumi ....pale dogo alijitahidi sana ndio maana akapata heshima kubwa. Wilder anapigana kikike sana. Muda wote alikuwa anamkwepa Ortiz hadi alipoona amechoka. Anthony Joshua akifanikiwa kutegua mtego wa Wilder wa kutoroka na kuvizia atamaliza pambano mapema sana. Ile round ya 7 angekuwa ni AJ pambano lingeisha ...Mbona AJ aliponea chupuchupu kwa Klitschko...
Mbona huyo Floyd unayemwamini alimkwepa Man Pac akiwa kwenye prime yake..Huyo AJ kama anajiamini mbona anamkwepa Wilder?
Mzee Klitschko ni kizazi halisi cha ngumi ....pale dogo alijitahidi sana ndio maana akapata heshima kubwa. Wilder anapigana kikike sana. Muda wote alikuwa anamkwepa Ortiz hadi alipoona amechoka. Anthony Joshua akifanikiwa kutegua mtego wa Wilder wa kutoroka na kuvizia atamaliza pambano mapema sana. Ile round ya 7 angekuwa ni AJ pambano lingeisha ...
Hivi unajua Floyd na Pacquiao nani mkubwa?Mbona huyo Floyd unayemwamini alimkwepa Man Pac akiwa kwenye prime yake..
time will tell hutoamin broze na lack of defence awez simama round 5 mbele ya joshua, bondia very slowly kama ortiz kamtoa jasho anaokolewa na kengele ya raundi hahhahaha ntakutafuta tuweke mpunga kama it will happenAJ aliponea chupuchupu kuchapwa round ya tano na klitshko angekuwa Wilder ndo Klitshko hicho ki AJ kingefia mbali
Aj hajamkwepa wilder, last time eddie hearn wameshindwana sabb ya maslahi wilder anataka pesa nyingi kumliko joshua na kitu ambayo haipo broze hana thamani hyo,,,,, then pambano la wilder na ortiz limekuja kabla ya pambano la joshua na parkerHuyo AJ kama anajiamini mbona anamkwepa Wilder?
Jibu swali boss.. Nani alikuwa anamkimbia mwenzake..Hivi unajua Floyd na Pacquiao nani mkubwa?
Hivi unalijua balaa la Floyd kipindi anaitwa pretty boy?
Unajua mpaka basi ....... Na siasa za tz nafkir nazo unazijua piaWilder alikuwa anamkwepa Ortiz?
Hapana. Hilo si sahihi.
Unajua kuwa walikuwa wamepanga kupigana mwaka jana lakini Ortiz aka fail drug test?
Wilder hajawahi kumkwepa mtu.
Halafu Ortiz wala hajachoka.
Kabla ya Jumamosi rekodi yake ilikuwa ni 28-0 na 24 KOs.
Maana yake ni alikuwa undefeated kwenye pro ranks.
Meanwhile, wakati Joshua anapigana na Klitscho, jamaa [Klitschko] alikuwa anatoka kwenye long lay off na alikuwa kashindwa mpambano wake wa mwisho na Tyson Fury.
Halafu Klitschko kwanza alikuwa keshawahi kupigwa kwa knockout na Corrie Sanders. Lamon Brewster pia alimpiga kwa knockout. Hata Ross Purity alimpiga Klitschko kwa KO.
Kwa hiyo wakati Klitschko anapigana na Joshua, blueprint ya kumpiga kwa KO ilikuwepo tayari.
Kabla ya Jumamosi ni nani aliyekuwa kampiga Ortiz kwa KO kwenye pro ranks?
Wilder kafanya kitu ambacho hakuna bondia mwingine aliyeweza kukifanya kwa Ortiz.
Na kusema Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz ni kutokujua mambo na kutokuwa mfuatiliaji mzuri wa combat sports.
Deontay Wilder has never ducked anybody.
Halafu unasema ile raundi ya saba ingekuwa ndo AJ pambano lingeisha?
Well, mbona pia hujasema kwenye ile raundi ya tano kwenye Joshua vs Klitschko ambapo Klitschko alimdondosha AJ, kama ingekuwa Wilder mpambano ungeishia hapo?
Hahahaa are you having selective amnesia sir?
AJ alikuwa hajitambui ile raundi ya tano. Hata raundi ya sita alikuwa hajitambui kabisa.
Sasa unadhani kama mbele yake angekuwa ndo yupo Wilder na si Klitschko, angechomoka kweli?
40 fights, 39 KOs, is an impressive record. It’s not a fluke either. Wilder’s power is real. It’s nothing to sneeze at.
Unajua mpaka basi ....... Na siasa za tz nafkir nazo unazijua pia