Wilder ingawa ni heavyweight lakini hana uwezo wa kumkalisha Floyd Mayweather

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nina uhakika 100% Wilder hana uwezo wa kumkalisha Floyd licha ya Floyd kuwa na uzito mdogo kuliko Wilder lakini kila nikiwaweka wapinzani wa Wilder wanaochakazwa uwanjani nafasi yao nikimuweka Floyd naona kabisa zile ngumi za kizembe wanazopigwa angekua ni Floyd asingepigwa hata moja.

Pia staili ya Wilder kumfuata mpinzani wake hali ya kuwa kaachia wazi sehemu kubwa ya mwili wake naona kabisa angedokolowa ngumi nyingi sana mpaka maji angeita mma.

Hakika Floyd ni the most defensive genius ever hata Wilder hawezi kupangua defense ya Floyd
 
Kwani kamchapa AJ?
 
Wilder anaeza shinda kwa AJ endapo akiwa vzr kwnye defence tofauti na hapo atachakaa mapema sana,,,, kilichomkuta round 7 kwa ortiz, angekua AJ yule tyr mapema pambano lingeisha
 
AJ aliponea chupuchupu kuchapwa round ya tano na klitshko angekuwa Wilder ndo Klitshko hicho ki AJ kingefia mbali
 
Mtoa mada usimshushe wilder kiasi cha kumpanga na Floyd, Wilder ni moja kati ya boxer wenye punch nzito kiasi hata kutohitaji kua na defense nzuri jaribu kupitia mapambano yake ya awali alafu ndio undike tena hakika hutomtukana tena
 
Mbona AJ aliponea chupuchupu kwa Klitschko...
Mzee Klitschko ni kizazi halisi cha ngumi ....pale dogo alijitahidi sana ndio maana akapata heshima kubwa. Wilder anapigana kikike sana. Muda wote alikuwa anamkwepa Ortiz hadi alipoona amechoka. Anthony Joshua akifanikiwa kutegua mtego wa Wilder wa kutoroka na kuvizia atamaliza pambano mapema sana. Ile round ya 7 angekuwa ni AJ pambano lingeisha ...
 
Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz?

Hapana. Hilo si sahihi.

Unajua kuwa walikuwa wamepanga kupigana mwaka jana lakini Ortiz aka fail drug test?

Wilder hajawahi kumkwepa mtu.

Halafu Ortiz wala hajachoka.

Kabla ya Jumamosi rekodi yake ilikuwa ni 28-0 na 24 KOs.

Maana yake ni alikuwa undefeated kwenye pro ranks.

Meanwhile, wakati Joshua anapigana na Klitscho, jamaa [Klitschko] alikuwa anatoka kwenye long lay off na alikuwa kashindwa mpambano wake wa mwisho na Tyson Fury.

Halafu Klitschko kwanza alikuwa keshawahi kupigwa kwa knockout na Corrie Sanders. Lamon Brewster pia alimpiga kwa knockout. Hata Ross Purity alimpiga Klitschko kwa KO.

Kwa hiyo wakati Klitschko anapigana na Joshua, blueprint ya kumpiga kwa KO ilikuwepo tayari.

Kabla ya Jumamosi ni nani aliyekuwa kampiga Ortiz kwa KO kwenye pro ranks?

Wilder kafanya kitu ambacho hakuna bondia mwingine aliyeweza kukifanya kwa Ortiz.

Na kusema Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz ni kutokujua mambo na kutokuwa mfuatiliaji mzuri wa combat sports.

Deontay Wilder has never ducked anybody.

Halafu unasema ile raundi ya saba ingekuwa ndo AJ pambano lingeisha?

Well, mbona pia hujasema kwenye ile raundi ya tano kwenye Joshua vs Klitschko ambapo Klitschko alimdondosha AJ, kama ingekuwa Wilder mpambano ungeishia hapo?

Hahahaa are you having selective amnesia sir?

AJ alikuwa hajitambui ile raundi ya tano. Hata raundi ya sita alikuwa hajitambui kabisa.

Sasa unadhani kama mbele yake angekuwa ndo yupo Wilder na si Klitschko, angechomoka kweli?

40 fights, 39 KOs, is an impressive record. It’s not a fluke either. Wilder’s power is real. It’s nothing to sneeze at.
 
AJ aliponea chupuchupu kuchapwa round ya tano na klitshko angekuwa Wilder ndo Klitshko hicho ki AJ kingefia mbali
time will tell hutoamin broze na lack of defence awez simama round 5 mbele ya joshua, bondia very slowly kama ortiz kamtoa jasho anaokolewa na kengele ya raundi hahhahaha ntakutafuta tuweke mpunga kama it will happen
 
Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz?

Hapana. Hilo si sahihi.

Unajua kuwa walikuwa wamepanga kupigana mwaka jana lakini Ortiz aka fail drug test?

Wilder hajawahi kumkwepa mtu.

Halafu Ortiz wala hajachoka.

Kabla ya Jumamosi rekodi yake ilikuwa ni 28-0 na 24 KOs.

Maana yake ni alikuwa undefeated kwenye pro ranks.

Meanwhile, wakati Joshua anapigana na Klitscho, jamaa [Klitschko] alikuwa anatoka kwenye long lay off na alikuwa kashindwa mpambano wake wa mwisho na Tyson Fury.

Halafu Klitschko kwanza alikuwa keshawahi kupigwa kwa knockout na Corrie Sanders. Lamon Brewster pia alimpiga kwa knockout. Hata Ross Purity alimpiga Klitschko kwa KO.

Kwa hiyo wakati Klitschko anapigana na Joshua, blueprint ya kumpiga kwa KO ilikuwepo tayari.

Kabla ya Jumamosi ni nani aliyekuwa kampiga Ortiz kwa KO kwenye pro ranks?

Wilder kafanya kitu ambacho hakuna bondia mwingine aliyeweza kukifanya kwa Ortiz.

Na kusema Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz ni kutokujua mambo na kutokuwa mfuatiliaji mzuri wa combat sports.

Deontay Wilder has never ducked anybody.

Halafu unasema ile raundi ya saba ingekuwa ndo AJ pambano lingeisha?

Well, mbona pia hujasema kwenye ile raundi ya tano kwenye Joshua vs Klitschko ambapo Klitschko alimdondosha AJ, kama ingekuwa Wilder mpambano ungeishia hapo?

Hahahaa are you having selective amnesia sir?

AJ alikuwa hajitambui ile raundi ya tano. Hata raundi ya sita alikuwa hajitambui kabisa.

Sasa unadhani kama mbele yake angekuwa ndo yupo Wilder na si Klitschko, angechomoka kweli?

40 fights, 39 KOs, is an impressive record. It’s not a fluke either. Wilder’s power is real. It’s nothing to sneeze at.
Unajua mpaka basi ....... Na siasa za tz nafkir nazo unazijua pia
 
Back
Top Bottom