Mzee Klitschko ni kizazi halisi cha ngumi ....pale dogo alijitahidi sana ndio maana akapata heshima kubwa. Wilder anapigana kikike sana. Muda wote alikuwa anamkwepa Ortiz hadi alipoona amechoka. Anthony Joshua akifanikiwa kutegua mtego wa Wilder wa kutoroka na kuvizia atamaliza pambano mapema sana. Ile round ya 7 angekuwa ni AJ pambano lingeisha ...
Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz?
Hapana. Hilo si sahihi.
Unajua kuwa walikuwa wamepanga kupigana mwaka jana lakini Ortiz aka fail drug test?
Wilder hajawahi kumkwepa mtu.
Halafu Ortiz wala hajachoka.
Kabla ya Jumamosi rekodi yake ilikuwa ni 28-0 na 24 KOs.
Maana yake ni alikuwa undefeated kwenye pro ranks.
Meanwhile, wakati Joshua anapigana na Klitscho, jamaa [Klitschko] alikuwa anatoka kwenye long lay off na alikuwa kashindwa mpambano wake wa mwisho na Tyson Fury.
Halafu Klitschko kwanza alikuwa keshawahi kupigwa kwa knockout na Corrie Sanders. Lamon Brewster pia alimpiga kwa knockout. Hata Ross Purity alimpiga Klitschko kwa KO.
Kwa hiyo wakati Klitschko anapigana na Joshua, blueprint ya kumpiga kwa KO ilikuwepo tayari.
Kabla ya Jumamosi ni nani aliyekuwa kampiga Ortiz kwa KO kwenye pro ranks?
Wilder kafanya kitu ambacho hakuna bondia mwingine aliyeweza kukifanya kwa Ortiz.
Na kusema Wilder alikuwa anamkwepa Ortiz ni kutokujua mambo na kutokuwa mfuatiliaji mzuri wa combat sports.
Deontay Wilder has never ducked anybody.
Halafu unasema ile raundi ya saba ingekuwa ndo AJ pambano lingeisha?
Well, mbona pia hujasema kwenye ile raundi ya tano kwenye Joshua vs Klitschko ambapo Klitschko alimdondosha AJ, kama ingekuwa Wilder mpambano ungeishia hapo?
Hahahaa are you having selective amnesia sir?
AJ alikuwa hajitambui ile raundi ya tano. Hata raundi ya sita alikuwa hajitambui kabisa.
Sasa unadhani kama mbele yake angekuwa ndo yupo Wilder na si Klitschko, angechomoka kweli?
40 fights, 39 KOs, is an impressive record. It’s not a fluke either. Wilder’s power is real. It’s nothing to sneeze at.