Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

subiri wanakuja kukwambia chadema ipo imara kipindi iki zaidi ya miaka yote
 
Nakumbuka MIAKA kumi iliyopita nikiwa Uwanja wa mashujaa Bukoba mjini Mbowe na Dr.Slaa Waliamsha dude. Ndipo kwa Mara ya kwanza nilipo mfahamu Lwakatare nakumbuka kwa Mara ya kwanza kumsikiliza na nilimkubali kutokana na umahiri wa kujenga hoja
Nikajiuliza huyu jamaa Ni nani? Nika ambiwa Lwakatare.

Nakumbuka
Aliliamsha dudee viwanja vya mashujaa balaa

All in all Lwakatare nilimkubali aliposema anastaafu siasa ingetosha tu akastafu kwa heshima. Najua Lwakatare anajua Siri nyingi za CHADEMA.

Nashauri
Wapinzani Wanaohama CHADEMA na kutimkia CCM Au vyama PINZANI NSSR MAGEUZI,CUF, ACT,
wangejikita kwenye mitizamo ya kizalendo kwa taifa na mawazo chanya ya kuwaletea maendeleo ya kweli wananchi wa tanzania kuliko kutoa shit kwa CHADEMA.

MTU YEYOTE MZALENDO HAWEZI KUJIKITA KWENYE UBAYA WA CHADEMA KWAIO KIPINDI UPO CHADEMA HUKUONA HATA JEMA MOJA
 
May 30, 2020
Bukoba, Tanzania

Mbunge wa 'Spika' ajiunga na CUF

Bukoba mjini tayari wameshaamua mbunge wao baada ya 2020 atatoka upinzani na ndiyo kuungana kwenyewe kwa upinzani . Nampongeza Mh. Wilfred Lwakatare ambaye ni mbunge wa 'Spika' baada ya kufukuzwa CHADEMA kwa kutokwenda CCM Mpya kuunga juhudi.


Source: millard ayo

Ikumbukwe Kuna wabunge kadhaa wa 'Spika' ambao wapo bungeni kupitia uamuzi wa Mh. Job Ndugai Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania na ni mbunge wa CCM kupitia jimbo la Kongwa mkoa wa Dodoma. Spika Ndugai ni kinara wa sarakasi za kisiasa kuidhoofisha kambi ya upinzani wakishirikiana na CCM Mpya.
 
Mikakati ya mwanachama mpya wa CUF ni kuhakikisha ACT WAZALENDO haipati kitu?
 
Siasa za Tanzania bwana, yaani badala chama pinzani kijikite kwenye jinsi gani kitakamata dola au kushinda viti vingi vya uwakilishi wajijenge wenyewe wanajikita kukiteketeza chama kingine cha upinzani?

All in all, mzee Lwakatare ungekwenda CCM tu ukapumzike unless kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia.
 
Siasa za Tanzania bwana, yaani badala chama pinzani kijikite kwenye jinsi gani kitakamata dola au kushinda viti vingi vya uwakilishi wajijenge wenyewe wanajikita kukiteketeza chama kingine cha upinzani?

All in all, mzee Lwakatare ungekwenda CCM tu ukapumzike unless kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia.

Huyo alishifika bei kwenye operation ya Magufuli ya kuimaliza cdm. Hivyo hana kingine zaidi ya kutumikia alichoagizwa na aliyemnunua. Vyama vya upinzani vilivyopewa kazi ya kuimaliza cdm ni CUF na NCCR, kwa uratibu wa Lipumba na Mbatia.

Cc: X-bar
 
Hadidu.za rejea kwa hiyo.kamati ya.kumrejesha nyumbani?
 
WanaSiasa kama Lwakatare, Molel, Hiza tambwe n.k wamejilaani. Hawana maisha na mbinguni hataenda. Aatateseka hapa hapa duniani nakuishia hapa. Sababu ni Usaliti kwa binadamu
 
Back
Top Bottom