Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

Kwa hivo atagombea tena Bukoba mjini ?Si alisema anastaafu siasa ?
 
Mbowe anapata ushauri wa Bulaya unategemea nini
Bulaya huwa anapanic sana. Sio mtu wa kufuata ushauri wake kabisa. Nimemsoma Bulaya inaelekea kipindi Corona imepamba moto alikuwa anamsoma sana Mange Kimambi.

Ndo maana akakurupuka eti wajikarantini. Halafu wamerudi kukaa na watu ambao hawakujikarantini. Idiot kabisa huyu Bulaya.

Binafsi pale Chadema namkubali sana Esther Matiko.
 
Nilidhani yuko serious na kustaafu siasa kumbe zilikuwa mbwembwe tu.
Tukiambiwa chama cha upinzani ni CHADEMA tuna takiwa kuelewa. Ati karudi CUF aka pambane na Chadema na siyo Ccm
 
CCM watatumia kila mbinu kuisambaratisha cdm, upepo wa siasa utakavyowageukia na kuwaendea kombo hamtaami
 
Bulaya huwa anapanic sana. Sio mtu wa kufuata ushauri wake kabisa. Nimemsoma Bulaya inaelekea kipindi Corona imepamba moto alikuwa anamsoma sana Mange Kimambi. Ndo maana akakurupuka eti wajikarantini. Halafu wamerudi kukaa na watu ambao hawakujikarantini. Idiot kabisa huyu Bulaya.
Binafsi pale Chadema namkubali sana Esther Matiko.
Matiko ni lecturer, hawezi kuropoka
Bulaya hata form four hakumaliza, sasa ndio anafanya kazi za katibu mkuu
 
Mwambie aende nccr ,cuf atapishana na hela
Na CUF wataambulia fedha kiasi katika ule mkakati sa kuangamiza Chadema na kuonyesha dunia kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na vyama vya siasa vya upinzani vilishiriki vizuri kabisa!
 
Matiko ni lecturer,hawezi kuropoka
Bulaya hata form four hakumaliza,sasa ndio anafanya kazi za katibu mkuu
To be honest that woman is brainless . Yeye ndo aliinitiate issue ya Karantini kwa kukurupuka. Binafsi sijaona issue ya wao kwenda Karantini na kurudi katika bunge ambalo conditions ni the same before, during and after Karantini.
 
CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema, kitamtumia Wilfred Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini, kuvimaliza vyama vya upinzani, hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020.
Target ni kuimaliza CHADEMA au kuchukua nchi? Siasa zetu kwa kiasi kikubwa ni upuuzi tu
 
Target ni kuimaliza CHADEMA au kuchukua nchi? Siasa zetu kwa kiasi kikubwa ni upuuzi tu

Huo ndiyo mtazamo wao CUF, NCCR na makanjanja wengine, hawana mpango mwingine tofauti na kuitokomeza CDM, ukiona chama chochote cha siasa kinyume na chama cha upinzani ujue hamna kitu hapo.
 
Vp ni jirani au umesoma nae secondary?

Hapana, nilimfahamu huko chuo alikua na harakati nyingi za uongozi. Alikua anapambana sana na kama vile nyota yake kwenye uongozi iko vizuri
 
Hapana, nilimfahamu huko chuo alikua na harakati nyingi za uongozi. Alikua anapambana sana na kama vile nyota yake kwenye uongozi iko vizuri
Yap aligombea nafasi mbalimbali nadhani na urais pia. Hongera umesoma sehemu nzuri sana
 
October ni kilio na kusaga meno, kuna somo la kujifunza kwa vya vingine vya upinzani kutoka kwa wale wanaojiita chama kikuu cha upinzani
 
Back
Top Bottom