Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hakuna biashara inayolipa Kama siasa unapata pesa ya bure usingeipata popote kirahisiHuyu mzee sikasema anapumzika siasa au kaonja utamu wa kiinua mgongo cha Ubunge? Wanasiasa wa Tanzania njaa sana
Daaaah! Baba mkwe wangu unaniangusha mwanao lovelet anasikitika.
Ndio ni mtt wake bado yupo UK.Hivi Lovelet ni mtoto wa huyu mzee? Asharudi bongo, maana nadhani alitakiwa kumaliza chuo mwaka juzi hivi
Siasa za Tanzania bwana, yaani badala chama pinzani kijikite kwenye jinsi gani kitakamata dola au kushinda viti vingi vya uwakilishi wajijenge wenyewe wanajikita kukiteketeza chama kingine cha upinzani?
All in all, mzee Lwakatare ungekwenda CCM tu ukapumzike unless kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia.
Mbowe na Halima tu!Hivi huko Chaldean amebakia nani?
Mbona Lwakatare,jua lilishazama anasubili muda tu, Afya ,Afya, Afya.Chadema masikini !
Mbona Lwakatare,jua lilishazama anasubili muda tu, Afya ,Afya, Afya.
Ndio ni mtt wake bado yupo UK.