Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu.

Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya kughushi na yaliletwa Maalum ili kumkomoa kwa vile alikuwa kiongozi wa Chadema.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya Haki kwa DPP Mhusika na wale wote waliohusika na uovu huu uliojaa unyama ambao haujawahi kuwepo kwenye nchi hii tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , kama wapo waliokufa lakini wakati wa uhai wao walishiriki uovu huu basi moto wao wa Jehanamu uongezwe mara 100.
 
Huko uliko shetani la kihutu endelea kuadhibika ndio maana kaburi lako lilijengewa microwave ili uchomwe vizuri. Endelea kuteseka kwa uchungu mwendazake
 
Hawa watu waliokamatwa kwatuhuma za uchaguzi iwe kabla ya mchakato au ndani...chadema fungueni akaunt tuwawekee pesa ili wapewe waaze maisha upya ,MTU kakaa miezi 8 harafu anatoka kuaza upya maisha..ccm bwana kweli kizazi chao chakuhoji kwishaaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…