Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

Hujuma iliyofanyiwa Chadema kama kingekuwa ni Chama kingine kingeshakufa
View attachment 1790104
Sasa kuna chama tena au mfano wa chama, uwakilishi wa chama kwenye taasisi za uwakilishi ndio huonyesha udhaifu au uimara wa chama. Ukiwa na Mbunge mmoja uimara wa chama uko wapi?

Chadema letu ni sawa mtu aliyekufa huku anatembea.
 
Kama nitashtakiwa Mahakama Kuu na kesi yangu ikawa chini ya Jaji Biswalo Mganga, lazima nitaweka pingamizi la kumkataa
 
Hawa watu waliokamatwa kwatuhuma za uchaguzi iwe kabla ya mchakato au ndani...chadema fungueni akaunt tuwawekee pesa ili wapewe waaze maisha upya ,MTU kakaa miezi 8 harafu anatoka kuaza upya maisha..ccm bwana kweli kizazi chao chakuhoji kwishaaa kabisa
Ndembe Ndembe ila kufungua akaunti ni lazima ili waanze kurekebisha afya. .
 
Sasa kuna chama tena au mfano wa chama, uwakilishi wa chama kwenye taasisi za uwakilishi ndio huonyesha udhaifu au uimara wa chama. Ukiwa na Mbunge mmoja uimara wa chama uko wapi?

Chadema letu ni sawa mtu aliyekufa huku anatembea.
Magembe nakufahamu , lakini nakukumbusha kwamba Mungu hataniwi , bosi wako Sabaya umeona kilichompata , sasa wewe hesabu dk chache sana , kiburi cha kutumwa hakitakufikisha popote .

hifadhi andiko hili .
 
Na vipi kuhusu mashehe wetu naona wanaachiwa wengine wao kimya vipi basi wahukumiwe tujue onezi tulisha ambiwa serekali inaonea sana waislam alitamka gwajima
 
Uonevu ulitamalaki sana wakati ule
Ukatili ulifanywa ili kufurahisha utawala
Mungu ndiye ajuaye ya kesho tuishi vyema wandugu

Sijui kama wahusika wamejifunza kitu. Bonge la funzo Watanzania kwa ujumla tumepata.
 
View attachment 1790099

Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya ccm na DPP Biswalo Mganga , ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu

Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya kughushi na yaliletwa Maalum ili kumkomoa kwa vile alikuwa kiongozi wa Chadema .

Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya Haki kwa DPP Mhusika na wale wote waliohusika na uovu huu uliojaa unyama ambao haujawahi kuwepo kwenye nchi hii tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , kama wapo waliokufa lakini wakati wa uhai wao walishiriki uovu huu basi moto wao wa Jehanamu uongezwe mara 100
Mimi na yule tu kitu kimoja. Napenda sana hili
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Tanzania hii CCM wameiharibu sana,mtu mmoja anaogopwa zaidi ya Mungu eti kwasababu ni rais.
Wapinzani wa kweli wa Tanzania Mungu awabariki sana,mlipitia mateso makubwa lakini kamwe hamkukubali kuwa upande wa udhalimu,mlishawishiwa muunge juhudi lakini mkasema noooo tutasimama upande wa haki,ngoja niwe rais ,wale walionunuliwa wote pamoja na akina ndio mzee wote nawatia ndani wao pamoja na familia zao,itakuwa ni operation safisha Misukule.
 
Mganga ni wakushughulika naye kwa njia za giza ni mpuuzi sn
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Tanzania hii CCM wameiharibu sana,mtu mmoja anaogopwa zaidi ya Mungu eti kwasababu ni rais.
Wapinzani wa kweli wa Tanzania Mungu awabariki sana,mlipitia mateso makubwa lakini kamwe hamkukubali kuwa upande wa udhalimu,mlishawishiwa muunge juhudi lakini mkasema noooo tutasimama upande wa haki,ngoja niwe rais ,wale walionunuliwa wote pamoja na akina ndio mzee wote nawatia ndani wao pamoja na familia zao,itakuwa ni operation safisha Misukule.
watu waliteswa sn mpaka MUNGU akasema basi inatosha
 
Back
Top Bottom