Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Hii kitu inakanganya kimtindo ila ngoja tuichukulie ilivyo. Ndg Pasco kwanza shkamoo (maana najua unanizidi ki umri)
Nina vijimaswali hapa na corrections
1. Corrections
B. Maria hakuwatokea wale watoto wa Fatima Lurd Ufaransa bali Fatima Ureno. Ufaransa huko Lurd alimtokea Bernadeta.
-Karismatic Katoliki si kwa ajili ya kuzuia watu wasihame ukatoliki bali ni uamsho uliotokea miaka ya 1960s na lengo likiwa na kuamsha ile nguvu ya kipaimara. Ni aibu mkristu unabatizwa, unapata kipaimara halafu unazilalia nguvu/vipawa vya Roho Mt badala ya kuvitumia, hivyo waanzilishi walimuomba Mungu sana aamshe nguvu hiyo na real ikaamka. Hii ilitokea chuo kimoja kikuu kimoja. Basi hii ilipelekwa hoja kwa Papa nae baada ya uchunguzi na sala za kina akaruhusu huu upyaisho/uamsho ktk katoliki. Hivyo huu ni utume pia na huduma yenye kibari cha Roho Mtakatifu.
- Kitu kingine- Yesu ndiye nguvu yenyewe na huweza kufanya mema kadri ya utashi wake. Nikimuita Yesu kwa kuamini nguvu yake basi nafanikiwa ombi langu.
2. Maswali
Mimi huwa nasikia kitu moyoni hasa ktk mpira. Mf Ile mechi ya Simba na Ruvu JKT nilisikia mshituko fulani moyoni nikajua tayari Simba itafungwa japo huwa sijui kwa gori ngapi. Hii hunitokea karibu kila mechi, moyo ukitulia najua timu ninayoitaja itashinda au itatoa droo. Hii hunitokea hata ktk kupoteza vitu, moyo ukistuka hata sijisumbui kutafuta, ukitulia basi nakipata.
Pasco what is this kind of power?
Nimewahi kufanya healing activities na kweli mtu hupona ila sharti awe na Imani.
Pamoja!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums