Panga tuu malengo, unataka nini in life, be positive utapata vyote unavyotaka, nyumba nzuri, gari nzuri, mke mzuri, pesa nzuri, uishi maisha mazuri!. The elekeza hizo efforts zako kwenye jinsi ya kupata hayo mazuri, njia zitafunguka, utayapata!.Lakini pia mkuu Pasco ni namna ipi na ninaweza kustart vipi nguvu hizi kuzifanya ziniletee maendeleo kiuchumi?by the way natambua napaswa kuanza na kuamini kwamba I can do but nashindwa kwamba naanzaje kutiisha jambo fulani litokee katika maisha yangu?kwa kukaa katika utulivu na kumwita muumba wa vyote au kwa kauli zipi na matendo yapi yatakayosababisha kupata kile nachohitaji?Please Pasco
Mkuu Lege, You have the powers!.daaa mm namiaka zaidi ya 25 sijawahi umwa ugonjwa wowote .yaani sana sana ni mafua na kifua kwa mbaali sababu ya kufanya zoezi hasa msimu wa baridi shauri ya kukimbia kwenye baridi.
ila cjui marelia homa na taka taka zingine huwanazisikia bombani.
nanimekuwa naota sana ndoto na mara ya mwisho nimeota Leo ndoto nilipofika tu kijiweni nikamsimulia niliyemuotea .ilihusu mambo ya lugombea nafasi za uongozi nilipo maliza tu alaniambia nashukuru sana mdogo wangu kwa bar aka zako ni kweli nagombania nafasi ya uongozi.
Mkuu Bibi com, kinachokufa ni mwili tuu, astrabody ao roho haifi na inaona kila kitu. Huyo mama aliweka nadhiri kwa Mungu kuwa hata nikifa, usinizike!, then nadhiri ile ikawa sealed with powers za imani. Mume alipataka kutumia ubabe, ni powers za marehemu kupitia astral body zilizuia!. Kungekuwa na wazee karibu, wangefanya mambo, mzimu wake ungetulia na jeneza lingeshuka na wangeweza kuzika kinyume cha wishes za marehemu, ila cha moto angekipata!.Pasco asante kwa mada nzuri, mi kuna jambo linanitatiza kuna msibs nilienda marehemu alitengana na mmewe kwa miaka 15 kabla hajafa aliwaambia watoto wake azikwe kwa babaake mzazi.
Alivyokufa mme akadai huyo ni mkewe halali na walifunga ndoa RC hawakutalikiana so mme akashinda kesi lakini cha ajabu jeneza halikuingia kaburini! Wazee wakamuomba marehemu akubali kuzikwa kwa mmewe lakini wakiliingiza kwa kaburi haliingii. Wakaamua basi akazikwe kwa babake cha ajabu jeneza lilishuka kaburini bila tatizo. Sasa je marehemu alikuwa anaona anapozikwa ndio anakataa?
Mkuu Makeda, kufa ni roho tuu kuuacha mwili, roho haifi na inakuwa hapo hapo!. Inapoombewa, ni ile roho inaurudia mwili, mnamuona kama mtu kafufuka!.pasco maiti inapoombewa then ikafufuka nini kinatokea?kulingana na somo lako la imani kwenye uponyaji.
Mkuu Lege, You have the powers!.
Mkuu Schiendler, najaribu sana kuepuka kuchangia misimamo mikali mikali ya kidini, nisije nikashukiwa humu na wanaojifanya wafia dini!. Mwili unasehemu kuu mbili tuu, Mwili na Roho, na ulimwengu ziko mbili, ulimwengu wa mwili, na ulimwengu wa roho. Hicho kinachoitwa nafsi, utashi, etc, mi application ya roho kwenye mwili.Pasco:
Binadamu ni mukusanyiko wa Mwili, Nafsi na Roho. Nimeongezea nafsi ambayo umeicha kwenye jibu lako.
Ni kweli kabisa Roho haifi wala hailali usingizi!!!! Nategemea ulisahau kusema kuwa ROHO HUWA HAILALI USINGIZI. Hivyo basi Mtu ambaye ndie Roho, huwa anaishi ndani ya Mwili ambao hauwezi kuwa hai bila ya Roho yenye uhai. NOTICE "ROHO YENYE UHAI". Kwanini nimeweka msisitizo wa Roho yenye UHAI, ni kwasababu kuna aina Mbili za Roho. Roho yenye uhai NA Roho ya mauti. Rejea Ufunuo 20:14. Kumbe basi hata mauti nayo ni Roho!!!!! Watu wengi hawafamu hilo kuwa MAUTI NI ROHO.
Kwahiyo kilicho tokea kwa Lazaro wa Bethany ni hiki: Lazaro ambaye ni Roho alihama kutoka kwenye mwili wa Lazaro, ndio maana huwa tunasema" MWILI WA MAREHEMU FULANI" Kwasabau "FULANI" amehama kutoka katika huo mwili na kwenda sehemu nyingine.
Sasabasi, Yesu alipo muita Lazaro njoo, NOTICE " YESU ANATUMIA JINA LA LAZARO" Na hakusema wewe mwili fufuka! Kilicho tokea hapo ni kuwa, Lazaro ambaye ni Roho alirudi kwenye mwili wake na ILE ROHO YA MAUTI ikabidi iondoke. Ndio maana nilipinga madai kuwa Mpokeaji Muujiza ndie awe mwamini" mwenye imani".
Kwahiyo Ukristo unayo mafundisho mengi sana ambayo yanahusu maisha baada ya kifo. Labda hilo ni SOMO la kipekee na tungelijalidli hapa, if that wont change mwelekeo wa hii mada.
SASA NARUDI KWENYE POWER THAT IS WITHIN:
Ningependa utupe undani wa maneno yako kabla sija changia nini hasa maana ya "POWER THAT IS WITHIN' Naomba vile vile utueleze hiyo within ipo wapi na ni nini?
Nashukuru Manangwa Pasco.
Lege Hongera sana!. Ukiristu na Uislamu ni dini za juzi sana kulinganisha na Hindu, Budha na Eastern Sciences na Biblia na Quran inafundisha so little, hivyo wale wote ambao wanagotea hapo, wanajikuta hawajui chochote nje ya box, mfano martial arts ni very high discipline ya powers control uki master, unaweza kutembea hewani, kupaa hata kuwa invisible kama wale ma ninja!. Ukimweleza asiye jua atakuambia ni uchawi, kumbe ni mazoezi tuu!.MKUU #pasco naungana na wewe kuwa ukiwa unafanya mazoezi unakuwa na machale sana mpaka kupitiliza mm kunakipindi nilikuwa nafanya mazoezi mpaka nikaanza kujiogopa nikawa napenda sana kushinda msituni nafanya zoezi nakumbuka mkorea 1 MZEE alikuwa anatufundisha taikwondo alikuwa anatusihi sana juu ya maswala ya imani ya kuamini ya juu tuendacho kukifanya na tulicho nacho kuwa ndio siraha na kinga yetu.
amini mpaka kesho mm huwa naamini zoezi ndio kinga Yang na ndio dawa yangu. ninazaidi ya miaka 25 sijatumbukiza kidonge au dawa ya aina yoyote mdomoni mwangu.sindano sijui drip nazisikia bombani.
na mwisho zamani kabla ya kuanza mazoezi tulikuw a tunapewa mda wa kutosha wakuomba nakukumbuka mazoezi yoote na vitu vyote tulivyovifanya jana .ila chakushangaza Leo hii tokea nimepunguza kufanya zoezi hata ukinambia Nikon uke tokea nimeamka asubuhi nimefanya vitu gani siwezi kukumbuka.
nakumbuka zamani ninaweza nikawa nimekaa hivi nikihisi kitu nakugeuka nyuma nakutana na kitu ambacho si chakutegemea.
nilisha wahi pita uchochoro 1 mwenge pale vinyago nilipofika katikati nikustuka na kugeuka nyuma nakukutana na jamaa ananivizia ili anikabe nilimwangalia nakuanza kucheka nae akacheka sana
Mkuu Schiendler, najaribu sana kuepuka kuchangia misimamo mikali mikali ya kidini, nisije nikashukiwa humu na wanaojifanya wafia dini!. Mwili unasehemu kuu mbili tuu, Mwili na Roho, na ulimwengu ziko mbili, ulimwengu wa mwili, na ulimwengu wa roho. Hicho kinachoitwa nafsi, utashi, etc, mi application ya roho kwenye mwili.
The powers within ni nguvu za Uungu zilizo ndani yetu ambazo zimewekwa na Mungu ile siku anatuumba!. Mungu alituumba kwa mfano wake na kutupa nguvu za uungu, alipotupulizia pumzi ya uhai!. Nguvu hizo zinatuwezesha kufanya chochote ikiwemo miujiza!. Moja ya sifa kuu za Mungu ni omnipresence, hiyo presence yake ndio part ya uungu uliondani yetu!.
Pasco
Mkuu Schiendler, kwa vile tunatofautiana kwenye basic, saa hizi ikiwa ni usiku wa mane, tutaishia kubishana mpaka asubuhi!. Hiyo self, soul, spirit, astra, roho, "I" ndio Uungu wenyewe ulio ndani yetu!.Manangwa Pasco:
Hapo penye rangi nyekunda pana utata. Nategemea ulimaanisha binadamu ana sehemu mbili kuu na si mwili una sehemu mbili kuu. Anyways, sioni kivipi NAFSI inakuwa zaidi kwenye udini kuliko Roho ambayo iliyo kuwepo hata kabla ya Mwili na nafsi kuumbwa.
Ngoja niielezee hii "Nafsi" kwa kifupi sana. Nasfi au Soul ni "the self", the "I" ambayo ina inhabits mwili and acts through it, inter alia, hiyo Nafsi ni central to the personhood ya binadamu. Ngoja niiache kwanza nafsi na nitarudi baadae hapo mbeleni kuieleza na labda kuifundisha pia.
Mimi nipo kinyume kidogo na mawazo yako kuhusu hiyo "power within". Mungu alipo pulizia pumzi ya uhai kama ulivyo sema hapo juu"in green words" ni kuwa. Hapo ndip Roho ya Binadamu iliingizwa ndani ya mwili ulio kuwa hauna uhai. Kama unakumbuka in my prior post nilisema kuwa Roho zipo za aina mbili. Kuna Roho ya Uhai ....na.... Roho ya Mauti. Zote hizo mbili zinaweza chukua mamlaka ya kuongoza mwili. Unapo ingiwa na Roho ya mauti, basi wataalam wanasema kuwa fulani amefariki dunia. Roho ya umauti inapo toka na ile ya Uhai kuingia kwenye mwili, basi binadamu wanasema HUO NI MUUJIZA, kwasababu mfua amefufuka.
Sasa basi, our power is limited to what was given to us in the beginning and or time of creation by our Creator. The giver of said power anaweza kuichukua kama utaabuse hiyo "power". Nilipo sema kuwa nguvu zetu zipo limited niliimanisha kuwa: Mfano Magonjwa kama Aids, Cancer et al, yanawezakuponywa kwa kutumia External Power ambayo ni ya Mungu. Meaning that either huyo mgonjwa anaweza amini na kupona through imani yake AU huyo mgonjwa anaweza kuwa haamini lakini anaye muombea akawa na imani tosha ya kumponya. Rejea Injili ya Mark 16:17. Jibu lipo hapo. Kumbe basi imani ni evidence of things not seen. Kumbe basi mgonjwa alikuwa amesha pona hata kabla ya kuomba uponyaji kutoka kwa Mungu.
Sasa swali hapa, je, unaweza kuicharge vipi hiyo power?
Mkuu Schiendler, kwa vile tunatofautiana kwenye basic, saa hizi ikiwa ni usiku wa mane, tutaishia kubishana mpaka asubuhi!. Hiyo self, soul, spirit, astra, roho, "I" ndio Uungu wenyewe ulio ndani yetu!.
The power is unlimited!.
Pasco
Unaomba kwa mode, Invisible, au mtumie pm, mtu aayeitwa Maxence Mello au Mike Mushi humu jf.mkuu Pasco naomba msaada jinsi ya kuingia jukwaa la dini/imani
splendid. thank you mkuu.Mkuu mimi ni Muslim na sina elimu ya Bible!
Wacha niwe neutral na nijaribu kukuambia kitu hapo.
...
Hivi vitabu vya dini haviko complete! I mean havijacover mambo yote na vipengele vyote! Hivyo basi, kama unataka upate elimu tofauti tofauti, usiegemee saana kwenye hivyo vitabu! Coz hivo vitabu vyenyewe vinashauri watu kutafuta elimu ktk vyanzo tofauti!
...
Angalia maelezo haya:
Islam inaichukuli bible kama kitabu kisichokamilishwa na kinachakachuliwa! (sorry kwa hili) Yesu aliondoka/ondoshwa/alikufa kabla ya kukamilisha ujumbe, bible iliandikwa na watu tofauti baada ya kundoka Yesu!
Thus why akaletwa Muhamad!
...
Kwa upande wa pili just jiulize kwanini kuna makundi mengi ya kidini wakati wote wanatumia kitabu hiko hiko? Kwa mfano: kuna Lutheran, catholic, Protestarant, na wengineo! Also kuna Sunni, Shia, Ibadh na wengineo!
The logic is that, kama vitabu vingecover angle zote kusingekua na hayo matabaka!
...
Also ukumbuke hivi vitabu viliandikwa zamani na kila leo kunaibuka issue mpya!
...
NB:
SIJAANDIKA KWA LENGO LA KUKASHIFU DINI YOYOTE! Its only matter of logic!
Unaomba kwa mode, Invisible, au mtumie pm, mtu aayeitwa Maxence Mello au Mike Mushi humu jf.
NB ukienda kule inakubidi uwe na moyo!, bahati mbaya mimi sijawahi kukanyaga huko!.
Pasco
I don't practice, I live it!, yaani sifanyi mazoezi, haya mambo nayaishi in real life but on my own way bila kufuata masharti yoyote!.Pasco. Do you practice what you preach?