Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Hahaha umeua hahahaha
 
I dont think if its staged,

Chris alikua kwenye kuwatania na wote Will na Jada walicheka then akaenda mbali zaidi kua G.I Jane part 2 inakuja meaning Jada atakua Cast kwa sababu ya Upara wake wakati mwenzake ni Maradhi na kila mtu anajua hilo, Jada alikasirika ndio Will akatake action,

OMG, sisapoti viyolensi lakini siwezi kuvumilia mtu a make fun na my family, hapo Will nampongeza na Speech yake baada ya kupata tuzo imemaliza kila kitu.
 
Kwasababu anamdharau will Smith mke wake anagongwa hovyo hovyo hadi na vijana wadogo halafu yeye anaonaga poa tu ndo maana huyu zelenskyy kamdharau

Gringo help him to smash the shit out there.
 
Ana haki ya kupigwa kofi.
 
5 hours ago views million 17 ,

tanzania tukio lina 7 years ,views 140k[emoji3][emoji3]
Wabongo sio wachovu kiasi hicho,

Event:Mchomvu vs Mbasha

Views:113,000

Mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bora tu lipite yaishe juu kwa juu.
Ila familia ya Smith na mkewe ni ya aina yake. Open marriage hivi kuna watu wanayo bongo kweli?

Sijawahi kuona open marriage kwa wabongo ila linaweza kuwepo maana duniani watu wanafanya mambo ya ajabu sana

Wenzetu wanafanya hivyo kwa sababu wanayaona na binadamu ku adapt kitu ni rahisi sana kutokana na tabia zinazokuzunguka

Ndio maana tunaona gay wengi kwa sababu ya kuwepo sana

Ila la open marriage kwetu bado sana
 
Ana haki ya kupigwa kofi.

Kuna mjadala mkubwa sana kwenye Radio hapa London yaani tangu asubuhi watu wanatoa maoni yao kuhusu hili tukio
Na maradhi yake yamekuwa issue kubwa sana

Ila kwenye radio wamealikwa mpaka psychologists na wengi kutoka kwenye jamii zote

Ila wengine wanasema apigwe tu na wengine wanasema ingekuwa vizuri zaidi angeenda akachukua Mic [emoji441] na kusema kuwa alichofanya sio kizuri na hapo angekuwa kamshinda

Kwa wasiojua pia Will Smith ana tatizo la hasira za haraka na ameenda mara nyingi kwa matibabu
 
Safi kabisa
 
Ni criminal offence ila kwa kuwa wanajuana sana naona kupotezea ni sawa tu
Ni kosa kubwa kafanya Will ila ni hasira
Watayamaliza ila akifungua kesi ni mbaya sana kumpiga mtu unaweza kufungwa
Amelia sana baada ya hapo, kaomba msamaha kwa wote ila sio Chris.

Utani kaguswa pabaya.

Na amesema niko abused na watu huwa niko kimya ila kuna mahali mtu unashindwa kuvumilia dharau hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…