Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Mbele ya Mademu... Alisema deogratias kuwa eti.

Hata Yesu alipigwa kabebeshwa msalaba akina magdalena wakaja kumlilia na kumpa pole, akaona hawezi kuwa mnyonge mbele ya mademu, akawambia mbona mimi fresh, jililieni nyinyi na watoto wenu akakaza.

Ila alipofika kwa wana akina petrol, akawambia petrol nimechoka hawa mbwa wataniua nisaidie msalaba. [emoji1787][emoji1787]
Hahaha umeua hahahaha
 
I dont think if its staged,

Chris alikua kwenye kuwatania na wote Will na Jada walicheka then akaenda mbali zaidi kua G.I Jane part 2 inakuja meaning Jada atakua Cast kwa sababu ya Upara wake wakati mwenzake ni Maradhi na kila mtu anajua hilo, Jada alikasirika ndio Will akatake action,

OMG, sisapoti viyolensi lakini siwezi kuvumilia mtu a make fun na my family, hapo Will nampongeza na Speech yake baada ya kupata tuzo imemaliza kila kitu.
 
Ryan Gosling😆😆
AF771118-0606-4A0B-AE07-CBAA5CB4DBA1.jpeg
 
Kwasababu anamdharau will Smith mke wake anagongwa hovyo hovyo hadi na vijana wadogo halafu yeye anaonaga poa tu ndo maana huyu zelenskyy kamdharau

Gringo help him to smash the shit out there.
 
Mke wa Will ana ugonjwa unaitwa Alopecia ambao husababisha nywele kunyonyoka na mke wa Will hana nywele

Sasa Chris akatania jokes hapo ila baadae kilichomuudhi Will ni pale alipomfananisha na movie moja aliekuwemo Demi Moore akiwa kanyoa nywele G1 JANE”

Hapo hata wewe usingekubali mtu ataniwe kwa maradhi yake View attachment 2166751
Ana haki ya kupigwa kofi.
 
5 hours ago views million 17 ,

tanzania tukio lina 7 years ,views 140k[emoji3][emoji3]
Wabongo sio wachovu kiasi hicho,

Event:Mchomvu vs Mbasha

Views:113,000

Mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220328-123833.jpg
 
Bora tu lipite yaishe juu kwa juu.
Ila familia ya Smith na mkewe ni ya aina yake. Open marriage hivi kuna watu wanayo bongo kweli?

Sijawahi kuona open marriage kwa wabongo ila linaweza kuwepo maana duniani watu wanafanya mambo ya ajabu sana

Wenzetu wanafanya hivyo kwa sababu wanayaona na binadamu ku adapt kitu ni rahisi sana kutokana na tabia zinazokuzunguka

Ndio maana tunaona gay wengi kwa sababu ya kuwepo sana

Ila la open marriage kwetu bado sana
 
Ana haki ya kupigwa kofi.

Kuna mjadala mkubwa sana kwenye Radio hapa London yaani tangu asubuhi watu wanatoa maoni yao kuhusu hili tukio
Na maradhi yake yamekuwa issue kubwa sana

Ila kwenye radio wamealikwa mpaka psychologists na wengi kutoka kwenye jamii zote

Ila wengine wanasema apigwe tu na wengine wanasema ingekuwa vizuri zaidi angeenda akachukua Mic [emoji441] na kusema kuwa alichofanya sio kizuri na hapo angekuwa kamshinda

Kwa wasiojua pia Will Smith ana tatizo la hasira za haraka na ameenda mara nyingi kwa matibabu
 
Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith.

Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao.

Alivorudi kukaa Smith akamuambia '' Get out my wife's name out of your fxxking mouth''

Aisee. Uzi tayari View attachment 2166607 View attachment 2166606
Safi kabisa
 
Ni criminal offence ila kwa kuwa wanajuana sana naona kupotezea ni sawa tu
Ni kosa kubwa kafanya Will ila ni hasira
Watayamaliza ila akifungua kesi ni mbaya sana kumpiga mtu unaweza kufungwa
Amelia sana baada ya hapo, kaomba msamaha kwa wote ila sio Chris.

Utani kaguswa pabaya.

Na amesema niko abused na watu huwa niko kimya ila kuna mahali mtu unashindwa kuvumilia dharau hizi.
 
Back
Top Bottom