Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo tumesahau ya Ukraine kidogo
Acha tupumue [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Open relationship maana yake ni kuwa huru so swala la Jada kutoka nje ni sehemu ya makubaliano ya kwenye hiyo relationship so swala la kupigiana miti hapo halihusiki.Tatizo watu wanamshangaa kwamba utani unapigana lakini kutombewa mke wako unaona poa.
Will Smith mwanzo alicheka na yeye kama watu wengine sema Jada alikasirika na ndio Will akaona bora anyanyuke aoneshe na yeye kakasirika.
It’s not staged. Kushinda kila mtu alikuwa anajua anashinda na kura upigwa kabla ya siku ya show.Thats why they are called proffessionals.
Hii ni kuipa upekee Oscar ya 2022.Huoni coincedence ameshinda na nomination?
It is good for the business all media tabloids leo habari ni Oscars na Kibao alichochapwa Jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo tumesahau ya Ukraine kidogo
Acha tupumue [emoji23]
Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?Open relationship maana yake ni kuwa huru so swala la Jada kutoka nje ni sehemu ya makubaliano ya kwenye hiyo relationship so swala la kupigiana miti hapo halihusiki.
Kila mtu alicheka at 1st moment ila baada ya sekunde kadhaa wenye kujua ugonjwa wa Jada wakaona huu sio utani bali ni upuuzi.
...Tayari tukio Wanatengeneza wote Wawili wanatengeza Pesa Ndefu! So tubishane tu nani alikuwa Sawa na Nani hakuwa Sawa...!Amelia sana baada ya hapo, kaomba msamaha kwa wote ila sio Chris.
Utani kaguswa pabaya.
Na amesema niko abused na watu huwa niko kimya ila kuna mahali mtu unashindwa kuvumilia dharau hizi.
...Tayari tukio Wanatengeneza wote Wawili wanatengeza Pesa Ndefu! So tubishane tu nani alikuwa Sawa na Nani hakuwa Sawa...!
Wengi akiwepo Will anajua ugonjwa wa Jada na tulicheka at 1st second. Ila on 2nd second ndiyo realization ikafanyika.Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?
Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
Sijajua kwanini wengi mnahoji mbona mwanzo alicheka mbona mwanzo alicheka ni hiyo clip inawafanya muhoji hayo au mliangalia the whole scene???Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?
Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith.
Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao.
Alivorudi kukaa Smith akamuambia '' Get out my wife's name out of your fxxking mouth''
Aisee. Uzi tayari View attachment 2166607 View attachment 2166606
Yah na Chris hakutegemea angepigwa kofi pale.na Smith akapiga makelele usimtanie mke wangu kabisa achana nae.Kweli imemuuma na ameamua
Chris kavuka mipaka yake
Yah japo chris ni amepata kichapo halali ila emotions intelligence alizoonesha ni power kubwa sana ambayo wengi tunafeli.Hii ndo emotional Intelligence naitaka maishani mwangu....jamaa alivyoipangua utadhan hajapigwa bana
Ndiyo ndio nenda youtube watch uncensored clipHaha Will Smith alisema hivyo kweli, mkuu?