Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Tatizo watu wanamshangaa kwamba utani unapigana lakini kutombewa mke wako unaona poa.
Will Smith mwanzo alicheka na yeye kama watu wengine sema Jada alikasirika na ndio Will akaona bora anyanyuke aoneshe na yeye kakasirika.
Open relationship maana yake ni kuwa huru so swala la Jada kutoka nje ni sehemu ya makubaliano ya kwenye hiyo relationship so swala la kupigiana miti hapo halihusiki.

Kila mtu alicheka at 1st moment ila baada ya sekunde kadhaa wenye kujua ugonjwa wa Jada wakaona huu sio utani bali ni upuuzi.
 
Thats why they are called proffessionals.

Hii ni kuipa upekee Oscar ya 2022.Huoni coincedence ameshinda na nomination?

It is good for the business all media tabloids leo habari ni Oscars na Kibao alichochapwa Jamaa.
It’s not staged. Kushinda kila mtu alikuwa anajua anashinda na kura upigwa kabla ya siku ya show.

Hasira zile .
 
Open relationship maana yake ni kuwa huru so swala la Jada kutoka nje ni sehemu ya makubaliano ya kwenye hiyo relationship so swala la kupigiana miti hapo halihusiki.

Kila mtu alicheka at 1st moment ila baada ya sekunde kadhaa wenye kujua ugonjwa wa Jada wakaona huu sio utani bali ni upuuzi.
Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?

Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
 
Amelia sana baada ya hapo, kaomba msamaha kwa wote ila sio Chris.

Utani kaguswa pabaya.

Na amesema niko abused na watu huwa niko kimya ila kuna mahali mtu unashindwa kuvumilia dharau hizi.
...Tayari tukio Wanatengeneza wote Wawili wanatengeza Pesa Ndefu! So tubishane tu nani alikuwa Sawa na Nani hakuwa Sawa...!
 
Sina hakika kama Chris alifanya “bad joke”
Lakini nina uhakika kwamba Willy Smith kakosea sana kwa jinsi alivyo handle issue

Kwa namna yoyote ile sioni sababu za msingi za mtu kaliba ya Willy Smith ku react kwa violence ya kiwango kile huku akijua fika dunia nzima inaangalia tukio lile

Chris ni mchekeahaji na alichofanya ndivyo wachekeshaji hufanya na kwa bahati mbaya kikikugusa usipopenda huwa inauma
Inawezekana kabisa Chris hakuwa anajua tatizo la Jada, na hata kama anajua bado haihalalishi kabisa Smith kufanaya utoto ule kwa level ya maturity aliokuanayo
 
...Tayari tukio Wanatengeneza wote Wawili wanatengeza Pesa Ndefu! So tubishane tu nani alikuwa Sawa na Nani hakuwa Sawa...!

Hujui hatari inayo mkabili Willy Smith kwa bad image alioionyesha mbele ya dunia live
Violence ni JINAI

Sina hakika kama unawaza viewers tu[emoji23][emoji23]
 
Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?

Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
Wengi akiwepo Will anajua ugonjwa wa Jada na tulicheka at 1st second. Ila on 2nd second ndiyo realization ikafanyika.
 
1648479547133.png
 
Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?

Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
Sijajua kwanini wengi mnahoji mbona mwanzo alicheka mbona mwanzo alicheka ni hiyo clip inawafanya muhoji hayo au mliangalia the whole scene???
Chris alikua anafanya utani kwa Smiths Family na wote walikua wakicheka ila aliharibu alipo mention G.I Jane movie akasema he cant wait to see it part 2 hapo hata Jada alibadilika, so kucheka kwa Will mwanzo pengine hakucatch a joke kwa haraka ila alipoona Mkewe kaumia akaelewa na kufanya yake,

Na mnaosema kwanini hakureact kwa wanaume aliokua ana date nao mkewe ni hoja ya kijinga sababu walikubaliana kua kwenye Open Marriage shida iko wapi??

Wengi wamezoea kumtusi na kumkashifu Will kua sio Baba bora wala sio Mume bora lakini hao ni binaadam yao yakishawashinda hugeuka kwa wenzao na kutafuta vitu vya kuwafanya wakose furaha kama wao, the fact kua Smiths Family inaendelea kua Imara yenye Nguvu na Furaha inawaumiza wengi sana.
 
Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith.

Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao.

Alivorudi kukaa Smith akamuambia '' Get out my wife's name out of your fxxking mouth''

Aisee. Uzi tayari View attachment 2166607 View attachment 2166606

Haha Will Smith alisema hivyo kweli, mkuu?
 
1. Ilikuwa utani (no harm meant). Will angemfuata mshkaji private jamaa waongee kiume.

2. How do you defend a woman who keeps clowning you in public?

3. You don't b!tch slap a fellow man, you punch them in the mouth.

4. Pac would've had Chris Rock make a whole special apologizing. Sorry Will.
 
Hii ndo emotional Intelligence naitaka maishani mwangu....jamaa alivyoipangua utadhan hajapigwa bana
Yah japo chris ni amepata kichapo halali ila emotions intelligence alizoonesha ni power kubwa sana ambayo wengi tunafeli.
Mkuu uko vyema kuna kitabu nilikianza. Kukisoma week iliyopita kinaelezea masuala hayahaya yaani watu wengi tunafeli kwenye issue za hisia aisee.

Kudos [emoji483][emoji483]
 
Back
Top Bottom