Ningekuwa na uwezo wa kukupa like 10 ningekupa. Likini kwakuwa uwezo ni moja tu, chukua hiyoSheria ya Mashirika imefutwa. Hivyo kwa sasa Watumishi wote wapo chini ya Utumishi. Kuhamishwa kutoka kwenye Shirika la umma kwenda Halmashauri au Serikali Kuu ni jambo la kawaida tangu awamu ya 5 iingie madarakani.
Ni matumaini yetu Mama ataangalia tena hilo eneo ili utaratibu wa zamani urejeshwe.
Acha uongo, wasukuma walitapakaa kila secta, mwamba alikuwa mkabila, mdini, msiasa za ovyo, na ambae ktk uongoz wake alijitahidi sana kutugawa ktk nyanja zote, aende akapumzike alipojiandaliaHizo zilikua hisia tu mkuu, ukiangalia safu ya uongozi enzi za Magu wasukuma walikua wachache sana.
Kumbe ni mtata?Erio kazi kubwa aliyokuwa anafanya hapo nssf ni kuhamisha staffs wa Nssf na kuwapeleka halmshauri na kuingiza staffs wa PPF kwa kuamin hawataweza kumhujumu.
Besides hata kuondoka kwa Kyaharara inasemekana ni Erio alienda kupika majungu kwa mwendazake ili aweze chukua yeye hiyo nafas kwa kutumia mgongo wa Benjamin Mkapa (Hayati(, leo pasaka anaitafunia kijiweni, Mungu anatisha
Wataje hao wasukuma waliotapakaa kila sektaAcha uongo, wasukuma walitapakaa kila secta, mwamba alikuwa mkabila, mdini, msiasa za ovyo, na ambae ktk uongoz wake alijitahidi sana kutugawa ktk nyanja zote, aende akapumzike alipojiandalia
Ukabila unatoka wapi tena mkuu.. William Erio siyo Mchaga.
..nilikua natoa angalizo tu ndugu zetu Mataga / kamati ya CHUKI.
..niko tayari kuvurumishiwa matusi.
Kumbe ni mtata?
Roho mbaya inalipiwa hapa hapa kabla hujafa ...Jameni serikalini watu huundiana hujuma za ajabu..Hawana utu hata kidogo...Sio Erio tu ..majuzi nimekutana na Mtumishi wa TPA amefurahi kupita kiasi kisa boss kafukuzwa.Erio alimfanyia figisu bwana mmoja pale PPF, sitamsahau kamwe
BalaaMshamba naskia na mtu mwenye roho mbaya sana
Mku hili likoje kwani naomba kujuaWatumalizie tu na sheria Yao tata,FAO LA KUKOSA AJIRA,Mengine sisi hayo hayatuhusu
Niliumia sana Prof Kahyarara kuondolewa NSSF. Ililiathiri shirika la NSSF kwa kiasi kikubwa sana. Tulio karibu na shirika tunajua. Na tangu Prof aondoke hapo shirika limetikisika sana (numbers never lie) na hata leo iitwe press conference waeleze performance ya shirika na miradi yake mtashangaa.Besides hata kuondoka kwa Kyaharara inasemekana ni Erio alienda kupika majungu kwa mwendazake ili aweze chukua yeye hiyo nafas kwa kutumia mgongo wa Benjamin Mkapa (Hayati
Mshamba naskia na mtu mwenye roho mbaya sana
Ukabila unatoka wapi tena mkuu
mbona wajishitukia mkuu, sijaona mtu aliyeandika kwamba ndg Erio ni mchaga,
Btw naona unahisia za kikabila hivi.
Huu upuuzi ndio unawachafua wachaga..Naona kama umechukia kuwa Erio sio Mchaga.
Huu upuuzi ndio unawachafua wachaga
Tunajua nyinyi ni wakabila, wezi na wakanda lakini hampaswi kutukumbusha mala kwa mala.
sawa...kwa taarifa yako mimi siyo Mchaga.
Mlizoea watu kutumbuliwa ndo ilikuwa furaha yenu,huyo mwendazake alitumbua wangapi na akawarejesha ,wengine si alikuwa anatumbua kufurahisha watu tu .Sema tumerudi kwenyr kutolewa station A kupelekwa B!! MTU anaonekana hatoshi anasogezewa pengine kisa woga wa kutumbua!!
Mnapenda kumwongelea marehemu!!! Mifano miiingi kwani nimemtaja wapi kuwa hakurejesha watu?? Kuwa na uelewa!!Mlizoea watu kutumbuliwa ndo ilikuwa furaha yenu,huyo mwendazake alitumbua wangapi na akawarejesha ,wengine si alikuwa anatumbua kufurahisha watu tu .
Siyo yeye aliye mtumbua Mataragio akamrudisha tena,si yeye alomtumbua Kichere TRA akampleka kuwa RAS badae akamchagua kuwa CAG,si yeye alomtumbua Kidata ,badae akamchagua kuwa Kidata kuwa Baloz na kumnyang'anya ubalozi ,badae akamchagua kuwa RAS...
Si yeye alimtumbua MWIGULU akamrejesha tena kwenye cabinet,sisi yeye alomtumbua SIMBACHAWENE akamrejesha tena.
Sisi yeye alomsamehe DED kahama kwa kununua gari la 400milioni.
Kuwa na kumbukumbu.
Umeongea huna reference ukimaanisha tumerud enz za JK kiasi kwamba mwendazake yeye hakuwahi kufanya hivo,kwan mama hajamtumbua MKURUGENZI wa TPA juzi au hukuona?Mnapenda kumwongelea marehemu!!! Mifano miiingi kwani nimemtaja wapi kuwa hakurejesha watu?? Kuwa na uelewa!!