William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

Ni vyema amepumzishwa kukaa miaka mingi idara moja kwa cheo kikubwa kama hicho kuna punguza mabadiliko chanya.
 
Ilifutwa lini?
 
Hili shirika Erio kaliua sana aisee. Nawasikitikia mno wana NSSF originale. Mtateseka sana mpaka muishe wote.

Nasikia hata huyo Mshomba ni kibaraka wa Erio, ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi 🤣
 
Pole Sana,

Mfikishie pole zetu Erio,

That's life...

Sidhani kama ameumia. Miaka 20 sio mchezo. Mimi binafsi ningekua nishachoka. Erio lazima alikua anasubiri afikishe 60 astaafu zake maana naamini kama ni pesa kavuna zakutosha
 
Hela ahonge malaya na taasisi nyeti unadhani anabaki na nini, ni maskini tu huyu sheitwaaan
Sidhani kama ameumia. Miaka 20 sio mchezo. Mimi binafsi ningekua nishachoka. Erio lazima alikua anasubiri afikishe 60 astaafu zake maana naamini kama ni pesa kavuna zakutosha
 
Hakuna mchaga mjinga na mwenye akili za kisheitwaaan
Hili shirika Erio kaliua sana aisee. Nawasikitikia mno wana NSSF originale. Mtateseka sana mpaka muishe wote.

Nasikia hata huyo Mshomba ni kibaraka wa Erio, ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi [emoji1787]
 
Wachaga sii kwamba mna akili sana, ila kitu kimoja tu mmebarikiwa ni UTU,
Hamnaga roho mbaya na ndo maana mnaendelezana.
Na ukimkuta mchaga bosi ofisini ujue wasaidizi wake wana furaha
Hakuna mchaga mjinga na mwenye akili za kisheitwaaan
 
Sjui leo atasali wapi huyu mchawi
Erio anafaa kuwa mwenyekiti wa bodi ngumu ngumu namuombea apumzike kama miaka 3 hivi halafu ateuliwe kwenye hizi bodi za taasisi za umma ni mzungumza ukweli .mikiki kiki ya kiserikali na presha zake anaijua.
Kuwa NSSF yenye zaidi ya wafanyakazi zaidi 1000 na ofisi 50 nchi nzima sio kitu kidogo.
Ukilala simu za wanachama,ukiamka kuna watu wanahitaji ufadhili wanaomba misaada.
Ukikaa kidogo kuna ofisi wateja wanataka kuandamana kisa mafao halafu shida ni mtandao wa TTCL upo chini.ukiangalia list ya waajiri walio na arreas ukiwafuata unakuta hawana biashara ukiwapeleka mahakamani mnasumbuana mahakamani mpaka hukumu itoke wafanyakazi wake washaandamana.
Ukirudi ofisini mialiko ya kiserikali hukai unatoka ukirudi mafaili makubwa ya tender na mikataba.
 
Yule anaweza kuongoza kama mjumbe wa nyumba kumi, aliongoza ppf ya staff 200, ameenda nssf staff ni 1200+ na ofisi zaidi ya 60,
Tatizo ni roho mbaya.
Yaani Erio ana roho mbaya kama koboko
 
Jua kwanza maana ya Civil service ndio uulize swali lako?
 
Wewe Mganga na Wewe DF walipe wafanyakazi wa nssf haki zao za nssf hiari vinginevyo hiiiiiiiiii,
Hata angalikuwepo jiwe huyu Erio asingalibaki salama,
Sema tu msukuma mwenzie huyo DF alikua anamsaidia kumtetea kisukuma iiiiiiiiiii[emoji848]
 
Acheni majungu yasiyo na kikomo, hujui kitu, eti mwendazake ujinga mtupu.

Mliyoyategemea hayajaja jiandaeni na maumivu kama kawa.

Tanzania haitakaa irudi nyuma. Chuma chuma tu
Afande selle mbona husomeki ulichoandika?
Umeandika ukiwa unapiga yale 'maugoro' yako au ile albadir imeshaanza kufanya kazi?
 
Mshomba hana uhusiano wowote na Erio,
Subiri usikilize mziki anaoanzisha.
Atasafisha masalia yote ya Erio
Hili shirika Erio kaliua sana aisee. Nawasikitikia mno wana NSSF originale. Mtateseka sana mpaka muishe wote.

Nasikia hata huyo Mshomba ni kibaraka wa Erio, ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi [emoji1787]
 
Kuna nyuzi zilianzishwa humu na timu yake walijiunga jf kwa siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…