Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?
Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya LukuviLukuvi aliiheshimisha wizara ya ardhi sana.
Nimegudua wanasiasa hawana utashi wa kuwahudumia wananchi 100%
Alichofanya rais ni mfano tosha kuwa hayuko siriaz kuona wananchi wakipata huduma bora, kwa kuwaondoa;
A. Lukuvi
B. Kalemen
Hawa ndugu mapengo yao yanaonekana.
Majasho na nguvu walizozitoa kututumikia Mungu atawalipa.
Bila huruma tumwletewa MAGARASHA...Makamba na Riz moja ili waje kujitajirisha tu.
Gawaneni ma udongo wa nchi hii ikiwezekana tulipie jua na hewa...
Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.