William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Kwani kutenguliwa ni kosa wakuu ?

Mama hajasema kwamba kamtoa lukuvi eti kisa kaharibu laa haasha.

Kama mtu alichaguliwa basi akitenguliwa pia ni kawaida tu wakuu.

Lukuvi asijiulize kosa lake bali ajiulize kwamba kutolewa uwaziri bila kuharibu ni kosa ?
 
Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?

Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya LukuviLukuvi aliiheshimisha wizara ya ardhi sana.
Nimegudua wanasiasa hawana utashi wa kuwahudumia wananchi 100%
Alichofanya rais ni mfano tosha kuwa hayuko siriaz kuona wananchi wakipata huduma bora, kwa kuwaondoa;

A. Lukuvi
B. Kalemen

Hawa ndugu mapengo yao yanaonekana.
Majasho na nguvu walizozitoa kututumikia Mungu atawalipa.
Bila huruma tumwletewa MAGARASHA...Makamba na Riz moja ili waje kujitajirisha tu.
Gawaneni ma udongo wa nchi hii ikiwezekana tulipie jua na hewa...

Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.
 
Aiseh pole yake !!ni vizuri wazee wakajifunza kuwaachia vijana na Sio lazima Hadi wafie kwenye viti!!kulima nyanya nayo ni kazi na iheshimiwe mbona Mangula huwa analima kabisa tena Sana tu na hamlalamikii mtu!!!?mtupishe sisi vijana Baada ya Riz one mi nafuata ngoja nisubiri tu!!!
 
Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?

Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya Lukuvi?

Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.
Mpuuzi, yeye Lukuvi ndiye aliyekuwa na hakimiliki ya uwaziri wa ardhi!
Halafu ebu angalia chuki zako unamtaja Ridhiwan kwani yeye ndiye aliyechukua nafasi ya Lukuvi, aliyechukua nafasi ni aliyekuwa naibu wake.
Halafu hilo Lukuvi liwe linatosheka ameingia serikalini toka enzi za Mwinyi 1994 baadaye akaendelea wakati wa Mkapa, Kikwete na Magufuli hatosheki tu?
 
Back
Top Bottom