William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Lukuvi ndiye aliua mradi wa mabasi ya wanafunzi akishirikiana na fisadi mwenzake Guninita, asifikiri tumesahau
Umenikumbusha huu mradi wa mabasi ya wanafunzi uliokuwa chini ya UVCCM, Mwenyekiti akiwa John John Guninita!! Hivi Nchimbi hakuukuta huu mradi?
 
kila kijiji jimboni kwake kina ambulance lakini hazijawahi kubeba mgonjwa yoyote yule ukienda utaambiwa hazina mafuta laki kutwa kucha zinatoka pori la hifadhi ya ruaha na ving'ora zikipishana kwenda uwanja wa ndege na daslamu kwa huwa zimebeba nini?
 
Ndo wajifunze kuishi bila teuzi...
Bado Dkt. Jafo... next utenguzi loading!
 
Aache kulialia kama kweli ana sifa yoyote ya kuwa kiongozi.

Huko kutenguliwa kwake, si alishasemwa kuwa anautaka urais?
Sasa anataka 'promo' ya aina gani kuanza shughuli ya kuutafuta urais!

Wakati huu anatakiwa awe anachakalika kutimiza azma hiyo.
 
Kuna madogo fulani wawili wa mtaani wamechukua UPedejee sehemu mbili nyeti sana.

Hapo mtaani kwetu tu.
Mambo ya ajabu ajabu tu yanafanyika halafu tunajiuliza kwanini hatupigi hatua katika lolote kumbe tunajimaliza wenyewe namna hii.
 
Alionewa Lukuvi au Walipo Kodi ?

Kwani effect ya kuweka mtu asiye sahihi maumivu ni kwa nani ?

Huyo Pensionable individual he is more than Okay..., na maelfu walioko kitaa wanaokuwa short changed
 
Wale wengine walipotenguliwa wakaanza kumwita Magufuli mshamba unasemaje kuhusu hilo?
 
Waliomwita Magufuli mshamba walikuwa na hati miliki ya nini?
 
CCM huwa wananogewa na madaraka. Mtu wa miaka 66 siyo wa kulalamika kutenguliwa. Siasa zetu ni ulaji tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lukuvi ndiye aliua mradi wa mabasi ya wanafunzi akishirikiana na fisadi mwenzake Guninita, asifikiri tumesahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hukuona clip zake nae akiwa kwenye shamba la Korosho huku kabeba ndoo ya mavuno [emoji23]
Yaani wote wasanii wa kilimo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nakufa kwa kucheka, ndungai nae ana matashtiti na manjonjo, hasa kwenye ishara ya kukonyeza anavofanya huo mkono sasa. Mweeeeeh
 
Lukuvi amekuwa waziri tangu watu tukiwa watoto na sasa tumezeeka. Bado analalamika. Watu hawana shukurani.
 
kila kijiji jimboni kwake kina ambulance lakini hazijawahi kubeba mgonjwa yoyote yule ukienda utaambiwa hazina mafuta laki kutwa kucha zinatoka pori la hifadhi ya ruaha na ving'ora zikipishana kwenda uwanja wa ndege na daslamu kwa huwa zimebeba nini?
Duuuuuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…