TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Sijui hao wanae wanajisikiaje?
Ukipata nafasi ya kumaliza matatizo tofauti zenu baina yenu,malizeni tu.maisha ni mafupi mno
Wameishi ki American American so hawana roho za ki bongo bongo hao madogo....
Kuna yule wa kiume alimpa shit za uso mara
SUCK MY DICK...

kitu ambacho Mimi hata nikitofautiana na mtu yeyote siwezi mtukana ivyo sembuse mzazi wangu.....
 
Kumbe angekuwa makini angesurvive Kwa siku mbili tatu
 
Wameishi ki American American so hawana roho za ki bongo bongo hao madogo....
Kuna yule wa kiume alimpa shit za uso mara
SUCK MY DICK...

kitu ambacho Mimi hata nikitofautiana na mtu yeyote siwezi mtukana ivyo sembuse mzazi wangu.....
Hata kama hakuwa na msaada kwenye maisha yao..
Kuna namna lazima mtaumia,mtaguswa...
Na jamaa ali-sense ziku zake zinahesabika akataka kuivuta familia katibu nae..bahati mbaya hakupata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…