TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Aliyekuwa akiwadharau wa uswekeni
 
Kwa taarifa Lemutuz sio kijana ni above 60 ni umri wa wastaafu. Apumzike kwa amani. Binafsi niliwahi kukutana nae ATM CRDB Holand House nikamsalimia tukapiga stori kidogo ingawa ndio kwanza kumuona live very humble man
 
Sikuwahi kujua hilo aisee , nilijua yupo chini ya 50!
 
Naskia alikua jamaa alikua upinde aliyejificha kwenye vita ya upinde yeye na yule konda wa Dar waliwahi kuwa na tension ya kumgombania ex-Dc mmoja hivi alowahi kuwa msemaji wa tim flan hivi
 
watoto wa Mzee Malecela waliotangulia “mbele za haki” ni:
1). Senyagwa Malecela
2). Dkt. Irene Malecela
3). Mkwavi Ipyana Malecela
4). Dkt. Mwele Malecela, na
5). William Malecela (Le Mutuz)

Mzee Malecela, amebakiwa na watoto wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…