TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

View attachment 2621167

Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaonesha madehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Aliyekuwa akiwadharau wa uswekeni
 
Kifo kingine tena kwa kwa watu maarufu!
Mtihani sana maisha ya mwanadamu na kiumbe chochote juu ya uso wa dunia!
Inauma kwa kiasi fulani kifo cha kijana ila tukumbuke tu waporaji hapa kwa dunia, hivyo tuwe care na afya zetu na kila kinachosababisha kuwa hai.

Apumzike kwa aman ajaliwe kukutana na Mungu mwenyezi .
Kwa taarifa Lemutuz sio kijana ni above 60 ni umri wa wastaafu. Apumzike kwa amani. Binafsi niliwahi kukutana nae ATM CRDB Holand House nikamsalimia tukapiga stori kidogo ingawa ndio kwanza kumuona live very humble man
 
Sikuwahi kujua hilo aisee , nilijua yupo chini ya 50!
 
Naskia alikua jamaa alikua upinde aliyejificha kwenye vita ya upinde yeye na yule konda wa Dar waliwahi kuwa na tension ya kumgombania ex-Dc mmoja hivi alowahi kuwa msemaji wa tim flan hivi
 
watoto wa Mzee Malecela waliotangulia “mbele za haki” ni:
1). Senyagwa Malecela
2). Dkt. Irene Malecela
3). Mkwavi Ipyana Malecela
4). Dkt. Mwele Malecela, na
5). William Malecela (Le Mutuz)

Mzee Malecela, amebakiwa na watoto wangapi?
 
Back
Top Bottom