Lemutuz ni kama alishawahi kuitwa na daktari wake akamwambia ukweli wa afya yake na maisha yake hapa duniani.
Nadhani ni 1 ya watu waliokua wanajua hawatoishi milele lakini pia hawatoishi muda mrefu hapa duniani ndio maana
maisha ya Lemutuz aliamua kuishi kwa kujipa raha mwenyewe na nafsi yake,huyu baba hakutaka complicate mambo
alifanya kile ambacho moyo wake unataka,alikua huru na maisha yake,aliishi uhalisia wake Hata kifo kimemchukua
nadhani kama nafsi inaongea basi amemwambia Mungu,Asante kwa uhai ulionipa ulitosha! all in all tusiomjua lakini
tulizoea kuona Post zake hata kama hatukuchangia kitu,we feel sad,tumeumia specialy me nmeshtuka sana kuona hii
katika Mwaka umefululiza chukua watu ninao wajua na nilio na ukaribu nao basi 2023 umekua mwaka wenye memories
nyingi sana maishani mwangu,Lemutuz is no more najua hata mimi siku 1 sitokuepo,atakuepo mtu akisimulia alivyonijua/nipenda/nizoea yes this is life,
Mbaya zaidi,Sijawahi kukizoea KIFO sijui hata ni kwanini hili jambo halizoeleki..Hata ujiandae vipi,uwe tayari vipi,uwe na elimu gani kuhusu Kifo,kikimfika unaemjua Lazima kuna hali itakuvaa for a while..Ngumu sana hii Kitu.
Namwombaga tu Mungu anisaidie nisione vifo vya niwapendao wale blood close family and Friends ninavyochelewaaga ku recover mimi,Daaah sijui.God Knows.