TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

1684052162169.png
 
inashangaza
Utasikia "Mungu wangu si jana tu tumetoka kula naye hapa ugali"

Sasa kula ugali na kifo hapo katikati kuna chemistry gani inayofanya ionekane ajabu kwa mtu mliyekula naye ugali kupatwa na mauti?

Yani kwa bongo ni kama taarifa ya mtu kufa kwako itakuwa normal as long as marehemu hakuhusika kwenye tukio lolote recently pamoja na wewe
 
Kuna Uvumi mitandaoni kwamba William Malecela hatuko naye , hatuna pa kuthibitisha maana hakuna taarifa kamili , sasa huyu jamaa ni member mwenzetu hapa JF , tunaomba yeyote anayeweza kuthibitisha hili au kukanusha atusaidie.

Naomba kuwasilisha .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kuna mahali nimesikia Mbowe nae kapata ajali mbaya akielekea bagamoyo. Hii nayo ni tetesi.
 
Kuna Uvumi mitandaoni kwamba William Malecela hatuko naye , hatuna pa kuthibitisha maana hakuna taarifa kamili , sasa huyu jamaa ni member mwenzetu hapa JF , tunaomba yeyote anayeweza kuthibitisha hili au kukanusha atusaidie.

Naomba kuwasilisha .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Nakuona msibani Karimjee pole sana kamanda
 
Back
Top Bottom