Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Ivi kwani alikuwa anaumwa ama? Mbona ghafla Sana ivo🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ndio kusema tatizo la kupumua liko real?
Kwa kosa gani?si juzi tuh alitukanwa na mwanae
Heart attack....Ivi kwani alikuwa anaumwa ama? Mbona ghafla Sana ivo🤔🤔
Utasikia "Mungu wangu si jana tu tumetoka kula naye hapa ugali"inashangaza
nimesahau, ila hizo habari ziko tafuta utazipata uko mtandaoniKwa kosa gani?
Kuna mahali nimesikia Mbowe nae kapata ajali mbaya akielekea bagamoyo. Hii nayo ni tetesi.Kuna Uvumi mitandaoni kwamba William Malecela hatuko naye , hatuna pa kuthibitisha maana hakuna taarifa kamili , sasa huyu jamaa ni member mwenzetu hapa JF , tunaomba yeyote anayeweza kuthibitisha hili au kukanusha atusaidie.
Naomba kuwasilisha .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Nimekosa mkuu[emoji120][emoji120]Chaka kivipiView attachment 2621154
Nakuona msibani Karimjee pole sana kamandaKuna Uvumi mitandaoni kwamba William Malecela hatuko naye , hatuna pa kuthibitisha maana hakuna taarifa kamili , sasa huyu jamaa ni member mwenzetu hapa JF , tunaomba yeyote anayeweza kuthibitisha hili au kukanusha atusaidie.
Naomba kuwasilisha .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
😥😥si juzi tuh alitukanwa na mwanae