TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

No Way, Aisee.

Daaaah

Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi. Deep Down Alikua Ana Utu Sana.

Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.

What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.

Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.

Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen [emoji1488]
Mangi Kimambi atapata hasara ya stori
 
Mtu una matatizo ya moyo umeshaponyoka mara kadhaa hospitali kwa utaalamu wa madokta.

Umri umeenda, obese; halafu ukipata nafuu kidogo unarusha picha ukishusha breakfast white bread, mayai ya kukaanga kama matatu, siagi, sausage, maharage na chai ya maziwa juu. It was coming.

R.I.P king of all of bongo social media, personal nitamiss post zake za maisha zilikuwa fikirishi sana kwangu au unapata la kujifunza hasa kuhusu tabia za watu wanaotuzunguka.

Ulale salama king of all bongo social media.
Hakika alikuwa king
 
Back
Top Bottom