Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Uzi tayari,wewe ndio unajua muda huu,jitaidi uwe unasoma uzi za wengine kabla ya kupost,inaonekana umeingia tu nakushusha uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni pigo sana kwetu wanaJF kwa kuondokewa na mwenzetu Lemtuz. Naomba uongozi wa JF, kwa mwongozo wa Maxence Melo , tuangalie namna tunavyoweza kushiriki msiba huu kama wanaJF kwani Lemtuz alikuwa member mwenzetu. Kuna haja ya kufanya mpango tuishike familia mkono kwa kuanzisha daftari la maombolezo na tushiriki msiba huu bega kwa bega pamoja na familia ya Lemtuz. Naomba kutoa hoja.View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Kuna kipindi kulikuwa na fununu kuwa ana tatizo la moyo. Tuzidi kumuomba Mungu kama ndiyo hiyo...
AAhhahDoctor wake huyu hapa
Kaishia kutukanwa, yule mtoto mk*ndu yule dunia haitamuacha salama shenzi zakeRoho ina jua na alikuwa anataka kuwaaga jamani!
View attachment 2621191
Third wave ya corona imerudi ndio maana Mama Membe wanemzungushia uzio kumlinda na maambukizi.
Membe kachomoka na Corona,na hata Lemutuz ni corona.
SawaYeye wanawake wazuri,malslay queens aliwaita wanebebez.
Sema alikula uzee,unajua alikua na miaka Mingapi?ujana wako alikula mamtoni,na hakufaidi ndio maana akaula uzeeni.apumzike mahala pemaMZEE ALIKIWA ANASEMA BOMA YEE FREE EDUCATION.
POLE SANA MZEE MALICELA.
ILA JAMAA ALIKULA SANA UJANA.
Lemutuz ni kijana?Kifo kingine tena kwa kwa watu maarufu!
Mtihani sana maisha ya mwanadamu na kiumbe chochote juu ya uso wa dunia!
Inauma kwa kiasi fulani kifo cha kijana ila tukumbuke tu waporaji hapa kwa dunia, hivyo tuwe care na afya zetu na kila kinachosababisha kuwa hai.
Apumzike kwa aman ajaliwe kukutana na Mungu mwenyezi .
Yule demu msengerema sanaEe Mungu!
Apumzike kwa amani
Hizi taarifa kwa Mange ni nzuri sana
Mwasi ya kitoko=mwanamke mwenye kupendeza/mzuri😆Lemutuz Boma yee mwasi ya kitoko
chalii ya mademu
Bado hata ukiwa humble utakufa tuu. Ishi uwezavyo maisha mafupiBe Humble down to the earth 🌍🌍
Kwa hiyo ndio kusema tatizo la kupumua liko real?