TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Apumzike kwa amani brother Le Mutuz, pamoja na lifestyle yake kuwa haikuwafurahisha wengi ila ni moja kati ya mtu aliyekuwa humble sana, nilipata nafasi ya kukutana nae siku moja katika event aliyoandaa kwa ajili ya kuwapa moyo vijana katika utafutaji wake, aliwaalika marehemu Ruge, mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah na wengine wengi. Mwisho wa event akagawa elfu 10 kwa kila kijana na ni zaidi ya vijana 200 kama nauli tu na msosi juu tulikula vizuri sana.

Apumzike kwa amani ndugu yetu Le Mutuz, Mungu akuweke mahali salama, yote ni mapito.
 
View attachment 2621167

Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Hili ni pigo sana kwetu wanaJF kwa kuondokewa na mwenzetu Lemtuz. Naomba uongozi wa JF, kwa mwongozo wa Maxence Melo , tuangalie namna tunavyoweza kushiriki msiba huu kama wanaJF kwani Lemtuz alikuwa member mwenzetu. Kuna haja ya kufanya mpango tuishike familia mkono kwa kuanzisha daftari la maombolezo na tushiriki msiba huu bega kwa bega pamoja na familia ya Lemtuz. Naomba kutoa hoja.
 
Kifo kingine tena kwa kwa watu maarufu!
Mtihani sana maisha ya mwanadamu na kiumbe chochote juu ya uso wa dunia!
Inauma kwa kiasi fulani kifo cha kijana ila tukumbuke tu waporaji hapa kwa dunia, hivyo tuwe care na afya zetu na kila kinachosababisha kuwa hai.

Apumzike kwa aman ajaliwe kukutana na Mungu mwenyezi .
Lemutuz ni kijana?
 
Aiseee Sasa hali si nzuri,
RIP BOMA YEE 🥲

7b46a774-d948-46c8-8a25-642d52157b77.jpg

Nyumba ya jirani….
 
Back
Top Bottom