Duh! Kumbe?! ... Sipati picha pale midubwana miwili mulipokuwa mnalala under the same roof! Khaa! Embu funguka zaidi, mlikuwa mnaishije ishije ndani ya nyumba moja? Funguka utuongezee siku za kuishi, kwa nini mama Anne kilango hakumtimua?
Kinky
Utakuwa Unamchukia Tu Le Mutuz...Si Bureee......Maana Umemuandama Kama Nin Bhana,Sema Sasa Unavyoendelea Unadhihirisha Kuwa Wewe Mwenyewe Hazikutoshi.....Mi Ndukiiii....
Hawa lazima watakuwa wamechukuliana bwana tu.
mi nlisikia alitembeaga nae
- Kubali I am big Celebrity ndio maana kila siku thread zangu hapa kwenye Celebrity na unajua mwenye thread zangu hapa huwa zinaanza na page 5 kwenda mbele, maana yake ni Super Star Big Celebrity The King of All Bongo Network Social Meida ok get that straight!!
Le Mutuz
Muombe radhi l mutuz wewe wataibianaje mume wakati ni me, na ke jamani humu kuna mambo!
Hilo nalo neno kwa hiyo l mutuz karoho kanamuuma kaamua kutoa nyongo hadharani kwanini wasikae chini wakayamaliza kimya kimya mtu kama l mutuz halafu anajiita eti msomi haya mambo aliyoandika hapa ni kwa faida ya nani? Na ameongezewa au kupunguza nini zaidi ya kujionyesha alivyo dhaifu wa kiutu aisee yani Mungu akunyime vyote lakini akupe Akili na maarifa.
Kina January Fred na riz ndio walitumia vizuri fursa ya kuwa mtoto wa mkubwa..uyu mzee yeye anajivunia kuanzisha blog huruma sana.
Ha ha ha ha U kno...nimecheka sana eti kuanzia page 5 kwenda mbele
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kina January Fred na riz ndio walitumia vizuri fursa ya kuwa mtoto wa mkubwa..uyu mzee yeye anajivunia kuanzisha blog huruma sana.
- Well haya ni mawazo yako sio yangu ni kwamba ukinichokoza ninakujibu mimi ni muumini wa jino kwa jino, nikiwa ninasoma Criminology USA niliandika paper kuhusu kuunga mkono death sentence in USA ilikuwa one of the best paper pale Shuleni, binadam wajinga wanapijibiwa tena kwenye their level of thinking wanapata akili japo kidogo, so ukinichokoza nitakujibu tu hayo ya busara za kunyamaza kaa nayo mwenyewe, watu wenye akili hawakupimi kwa kunyamza kimyaa kwenye crisis ni foolish idea!1
Le Mutuz
- Ni kawaida ya walioshindwa kwenye this game of life kurusha rusha majina ya wanaume wengine badala ya kujitaja mwenyewe huwa ni honestly huwa ni tabia ya wanawake wambeya, blog ni one of my things bado nina Radio na TV pamoja na ICD Mbagala, kaka pole sana unacheza ngoma usiyoijua!!
- Blog nimeisajili as Kampuni na nimeajiri vijana 3 sasa inajitegemea sina muda huko tena ofisi ipo gerezani mimi nipo Downtown, kama unaona hii ni kazi ndogo sema umeajiri Vijana wangapi mkuu sana? ha! ha!
Le Mutuz
Nikupe likes ngapi???
Nimwagie za kutosha tu mkuu.
Cool down bulaza usipanic,we siunasema umesoma sana hapo nilikuwa nafanya comparative analysis....unajitutumua sana kuonyesha kuwa mambo yako safi mara nina blog sijui tv,wakati mwenye njaa hajifichi leo kupata check ya Vodacom kwa ajili ya vimatangazo dunia nzima imejua na ukaichangia na jf....mtu kama riziwani hana kelele watu ndio wanaongea,ye wala hana ata habari anazimake tu...Mtu kama Riz ukiweka kando siasa namuombea abarikiwe zaidi coz ni mzungu wa roho.
we unajiona una akili kwa kufanya promo kwa kufungua thread jf,wenzio wananunua magazeti.
Unajisifu umeajiri watu watatu unatia huruma sana,mie kwa umri wangu kama mwanao ila we unikuti ata nusu pata picha nikifika umri wako
Kama ndio kodi zetu zilitumika kukusomesha laana ipo juu yako ila kama ni pesa halali ya baba yako basi rudisha chenji.
jamani mi Lemutuzi namuombea maisha marefu tu, maana uwa ananichekesha sana mambo yake yaani nilivyoona hiyo pic na kaamka asubuhi kupiga nacheka kl saa .huyu jamaa mnamuona hana akili, akili anayo sana anachezea akili za watu tu.
- ha! ha! ha! ha! hapana kaka sina akili inatosha sana it is good with me U know! ha1 ha! ha!
Le Mutuz