bigsamkatty
Member
- Aug 13, 2015
- 61
- 29
Ungekuwa unajua dhana ya huduma ya hekaluni toka kipindi cha agano la kale na nini kuhani alikuwa akifanya alipokuwa anaingia katika chumba cha patakatifu pa patakatifu mara moja kwa mwaka...ungejua Yesu akiwa kuhani wetu mkuu anafanya nini hapo patakatifu pa patakatifu pa Mungumi.Hayo maombezi,Yesu anawaombea akina nani hapo "chumbani patakatifu pa patakatifu'?
Ndugu yangu haya mambo ni makubwa sana...kama husomi biblia huwezi kujua...nakushauri soma vizuri kitabu cha Daniel chote na Ufunuo...humo ndiyo mambo yote utayapata. Ila inatakiwa umuombe sana Mungu akupe roho wake uelewe vinginevyo utatoka kapa.Mkuu tulia...usome mada uelewe.....
Hebu tuanbie labda itawezekanaje huyo Papa kuwalazimisha watu kusali Jumapili angali dunia hii kuna uhuru wa kuabudu....mbona ni kichekesho cha karne hiki...
Haya labda utuambie haya umeyapatia wapi....?
Najua vizuri sana...uliza swali nitakujibu!Mkuu unawafahamu waanzilishi wa Usabato...???
You can't be serious...Unabii huo hauna maana yoyote kwa wanadamu wa leo.....
Ni wapi nimemkana Miller?Mwanzoni ulimkana Miller na sasa kwa ujanja unakubali.... Hiki ni kituko kingine...ehhhh
,
Hapa ndio pa tamu sasa.....Kama ulikuea hunui Bwana Joseph Bates ndiye aliyanza kumsafisha William Miller baada ya Great Disappointment....kisha baadae ndio akaja Bi Ellen G White.....
Sasa mkuu wewe unsonekana una uelewa kidogo wa mambo ya Kisabato...utatusaidia kujibu maswali yetu ...
japo umeanza kwa kukanusha kuwa humjui miller na wala hakuna msabato na hana mahusiano na usabato, hali kijanja ukaja kumkubali.....
Sasa kama unaona una maana njoo tujadiliane hapa......You can't be serious...
Anawaombea wakosaji wote. Hujui kwamba Yesu ni mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu. Kila unapotenda dhambi na unapotubu Yesu anapeleka maombi yako mbele za Baba yake ili usamehewe?Hayo maombezi,Yesu anawaombea akina nani hapo "chumbani patakatifu pa patakatifu'?
Ungekuwa unajua dhana ya huduma ya hekaluni toka kipindi cha agano la kale na nini kuhani alikuwa akifanya alipokuwa anaingia katika chumba cha patakatifu pa patakatifu mara moja kwa mwaka...ungejua Yesu akiwa kuhani wetu mkuu anafanya nini hapo patakatifu pa patakatifu pa Mungumi.
Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu..Ni wapi nimemkana Miller?
. Miller haukuwa msabato na hata kipindi akiwa anahubiri kurudi kwa Yesu, hapakuwa na dhehebu la kisabato.
Wewe....hivi kweli na wewe unajiita binadamu kama mambo madogo haya huyajui..Gregorian inamilikiwa na wakatoliki?
Atakuwa anawaombea Wasabato kwa kuitunza Sabato...Hayo maombezi,Yesu anawaombea akina nani hapo "chumbani patakatifu pa patakatifu'?
Najua vizuri sana...uliza swali nitakujibu!
Kwani unafikiri mpaka mimi kuambia ume-panic nimekosea....Soma yale maswali yake ndo utaona alikuwa analenga nini?
Yesu ni nani...???ungejua Yesu akiwa kuhani wetu mkuu anafanya nini hapo patakatifu pa patakatifu pa Mungumi.
Mkuu usi panic na kuanza kutawanya matusi kwa nadharia hewani.Wewe....hivi kweli na wewe unajiita binadamu kama mambo madogo haya huyajui..
Kalenda hii yaani mf..leo ni tarehe 31/10/2018 ni Gregorian Calender ....
Ni Kalenda ya Kanisa Katoliki ..kwa kirefu inaitwa Pope Gregory Calender...(Gregorian)
Aliyekuambia mimi kuwa hivyo vitabu sijasoma mpaka mmoja anipe ushauri wa kuvielewa na nani...?Ndugu yangu haya mambo ni makubwa sana...kama husomi biblia huwezi kujua...nakushauri soma vizuri kitabu cha Daniel chote na Ufunuo
Onesha tusi nililotukana...Mkuu usi panic na kuanza kutawanya matusi kwa nadharia hewani.
Ungejibu "NDIO" ungeingia kwenye kundi la waungwana!
Soma maswali ya mtoa mada ndugu, usikurupuke kujibu kabla hujaelewa post yangu.Kwani unafikiri mpaka mimi kuambia ume-panic nimekosea....
Maswali uliyouliza ni tofauti na mada kabisa
Wewe! Hivi unaona watu wote ni mbumbumbu hapa....???Ila inatakiwa umuombe sana Mungu akupe roho wake uelewe vinginevyo utatoka kapa
Lini...??? Nipe siku...Kuhusu watu kulazimishwa kusali siku ya Jumapili ipo inakuja...
Hebu tutolee hekaya zako za abunuasi hapa...Mwaka 1999, viongozi wa makanisa yote ya Kiprotestant na Roman Catholic walisaini makubaliano ya kuondoa tofauti zao, ili kuwa kitu kimoja. Na Octoba mwaka jana, katika kuazimisha miaka 500 ya uprotestant, ulioanzishwa na Martin Luther alipoandika mambo 93 ambayo alikuwa anapingana na kanisa la Roman Catholic, kanisa la Lutheran lilisaini declaration ya kumalizika kwa uprotestant. Kama unafuatialia mambo utakuwa unajua hili. Hii ni mwanzo wa One World Religion