H
Ali hiyo ipi?
Tunajivunia sana mama Samia kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke Muislam na wa kwanza mwenye asili ya Zanzibar, Tanzania hii.
Mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa kamo wa kwanza wa Rais na hatimae kuwa Rais wa kwanza mwanamke kwa mapenzi ya Allah, anaeweka historia isiyofutika.
Ma shaa Allah, tunaiishi falsafa ya R nne iliyo bora sana, maridhiano (Reconciliation) tunayaona. Ustahamilivu, subra na kuibua fursa kwenye matatizo (Resiliance) tunayaona.
Mabadiliko na mageuzi chanya (Reforms) tunaziona. Ujenzi mpya (Rebuilding) tunaiona na kuiishi.
Asiyeyaona yote hayo huyo "ana macho lakini hayaoni".