William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

Hoja langu lipo kwa vijana wetu hapa bongo , Vijana Kenya walizua fujo mpaka rais amefikia hatua ya kutupilia mbali baraza lote la mawaziri leo.

Hivi Gen z yetu au kiujumla vijana mpo wapi mambo yakienda kombo hapa nyumbani.

Au mnawaza kubet na kuchanua masketi? Mtanyanyaswa kama sie mpaka lini?
 
I still believe Rutto is very genious he knows very well how to pick his card….. and this is the trap young Genz in kenya dont understand…they only think they ran Rutto because he listens to them now….
They don know that he may get fed up…..
Lets wait and see what they want….. and soon world will see the intentions of this movement called “Genz”

But what i like from kenya and i thinks this is the one of many thisngs they are head of us Tanzanian is that i didnt know taht they have directory on President Appointment they Call it “PAP ACT as presidental Appointment Act “ if am not mistaken … is this have noticed that the article as stipulated the qualification for those who deserve to be appointed by President that means the President is not free to do whatever he wish…..!
 
Gen z ni kirusi ambacho kimetengenezwa na miamba wa siasa za nchi ni Kenya ambao wapo chama cha upizani alicho sahau Ruto ni kutaka kuwa treat viongozi wa vyama vya upizani kama wanavyo fanyiwa viongozi wa upizani nchini Tanzania .Ili Kenya itawalike vizuri ina bidi Odinga na Kundi lake wawe kwenye system, wawe wana bunya unless otherwise tegemea mikwamo
 
Ruto hajiulizi Sisi alifanyiwa nini na vijana?

Hajiulizi Burkina Faso vijana wamefanya nini?

Hajiulizi jirani zake Sudan,vijana wamefanya nini?

Nadhani anakumbika shuka kumekucha.
Heri ya Ruto "anayekumbuka shuka", kuliko huyu wa kwetu asiyejuwa kabisa kuwa kuna shuka; anaziba masikio awe "Chura Kiziwi".
Sijui kama hapa anajifunza lolote!
 
Kuvunja Baraza la mawaziri sio suluhisho ya madai ya Gen z.... Yaani in what way inaboresha maisha ya wakenya?
 
Heri ya Ruto "anayekumbuka shuka", kuliko huyu wa kwetu asiyejuwa kabisa kuwa kuna shuka; anaziba masikio awe "Chura Kiziwi".
Sijui kama hapa anajifunza lolote!
Unafananisha usiku na mchana?

Shukuru Mungu wako kwa kutuwekea Mama Samia kuwa Kiongozi wetu mkuu Tanzania.

Hakika kazi ya Mungu haina makosa.
 
Unafananisha usiku na mchana?

Shukuru Mungu wako kwa kutuwekea Mama Samia kuwa Kiongozi wetu mkuu Tanzania.

Hakika kazi ya Mungu haina makosa.
Ukiwa "Chawa" na kujivunia hali hiyo unapoteza uwezo wa kutumia akili vizuri.
 
H
Ukiwa "Chawa" na kujivunia hali hiyo unapoteza uwezo wa kutumia akili vizuri.
"Hali hiyo" ipi?

Tunajivunia sana mama Samia kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke Muislam na wa kwanza mwenye asili ya Zanzibar, Tanzania hii.

Mwanamke wa kwanza Tanzania kuwa makamo wa kwanza wa Rais na hatimae kuwa Rais wa kwanza mwanamke kwa mapenzi ya Allah, anaeweka historia isiyofutika.

Ma shaa Allah, tunaiishi falsafa ya R nne iliyo bora sana, maridhiano (Reconciliation) tunayaona. Ustahamilivu, subra na kuibua fursa kwenye matatizo (Resiliance) tunayaona.

Mabadiliko na mageuzi chanya (Reforms) tunaziona. Ujenzi mpya (Rebuilding) tunaiona na kuiishi.

Asiyeyaona yote hayo huyo "ana macho lakini hayaoni".
 
Back
Top Bottom